Ouk
All boys areOh hell no. "Some boys are"
Sasa Oman sio huko kwa imani kali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli nakwambia! itakua unawafananisha na waarabu wa Oman ila sio watalibani wa afaghanstan
kule hata pensi hurusiwi kuvaa ni wewe na kanzu tu
No 6 inamaliza kila kitu.1. Acheni ujinga wa kuangalia picha na video za ngono (pornographies) sababu zina roho chafu za kujaa hata Watoto.
2. Acheni kuendekeza kuiga iga mila na desturi za nchi zingine kama kuvaa vinguo vifupi, vinavyobana na kuonesha nyeti za miili na malezi ya kisasa (kimayai mayai kama akina Junior).
3. Acheni kuangalia tamthilia za kizungu na hata muvi za vikatuni zinaonesha na kuhamasisha ushoga dhahiri, pia hata nyimbo za video za miziki ya kisasa hazina maadili kwa kuwa ni picha za uchi tupu na matusi mfano singeli.
4. Acheni kuwaachia malezi Maids pekee na kila siku fatilia nyendo za Watoto (Ke & Me) pamoja na marafiki anaohusiana nao.
5. Muwe marafiki na Watoto kwa ukaribu wa maongezi si kuwa wakali tu muda wote ili waweze kufunguka yanayowasibu hata kama wametishiwa amani.
6. Elimu itolewe mapema kwa Watoto kwa uwazi wote hata kama ni maneno mazito yatamsaidia kujua athari kwa maisha yake yote.
7. Wapeni Watoto uhuru wa kiasi si lazima kila anachotaka apewe, mfano simu, laptop na pia hata akiwa na marafiki zake asizoee kabisa asije kushawishiwa/kushawishika.
8. Wazoeze Watoto kutumia muda mwingi kusoma, NENO LA MUNGU na vitabu vya maarifa ya kimaisha kama Afya, ufundi umeme n.k
9. Malezi ya Watoto yawe jukumu la Wazazi wote wawili inapobidi akanywe papo kwa hapo kwa kosa kubwa wala si la kumsubiria Mzazi mwingine hadi arudi home toka kazini.
10. MUHIMU HASA;
Tuombee familia zetu (Baba, Mama & Watoto) kila siku maana wakati mwingine Watoto hurushiwa mapepo na kukataa uadilifu kabisa hata kama awali walikuwa wema.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kabisaaaaa.Mkuu mbona unanimix,kuhusu kulawiti/kulawitiwa mara nyingi linakuja kama ukatili(hakuna makubaliano kati yao)..
Ushoga,lazima utongozwe na wao ndio wanatutongoza 80%..
Kwaiyo kulawiti hakumpelekei mtu kula jicho..
Wanaanzaje na wanategemea misaada kutoka kwa hao hao ambao unasema wakawakemee.ipo namna wenye mamlaka husika inatakiwa wafanye jambo,nchi yetu hairusu ushoga lakini hakuna sehemu ambayo imekemea kuhusu ushoga,yaani hatusupport ushoga ila hatuukemei,,
Namna nyingine ni kama hawasupport ila hawakatazi,,
manaake hawasupport direct ila wanasupport indirect
kwa wataliban huwezi kusikia huu ujinga
Uliwatambuaje kuwa ni lesbian? Maana wanawake huwa wanakumbatiana, kuitana mpenzi, na hata kupeana busu la lips kwa lips hadharani na still wakawa si lesbians.Leo asubuhi mwenge nimeona lesbian dah, wapo huru Kabisa wanatembea wameshikana
How can all boys be gay? Kuwa gay ni mpaka uwe unavutiwa kimapenz na mwanaume mwenzako...All boys are
Ni wanaume hao[emoji44]
Ndo hivyo hivyo.How can all boys be gay? Kuwa gay ni mpaka uwe unavutiwa kimapenz na mwanaume mwenzako...
Sent using Jamii Forums mobile app
nani kakudanganya?Sasa Oman sio huko kwa imani kali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbeeee??nani kakudanganya?
Huko ndo midobwedo wemejazana
Vingunguti mmefikiwa??? Huko si kwa vibakaa?? Na ushogaa umoo pia lol.Ongezeko la ushoga Vingunguti.
Vingunguti imekuwa kama zanzibar kuna ongezeko kubwa la vijana walioaribikiwa na kujingiza katika mapenzi ya jinsia moja.
Daah ni changamoto
.... tunakomeshaje...
Noma sanaVingunguti mmefikiwa??? Huko si kwa vibakaa?? Na ushogaa umoo pia lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahihi kabisa leo nilikuwa maeneo ya msikiti wa mchongomani nimekutana na kijana kwakwel Malinda mule n neh neh yaan kwisha dogo anatikisa tako kwakujiachia na saut nyororo bila wogaOngezeko la ushoga Vingunguti.
Vingunguti imekuwa kama zanzibar kuna ongezeko kubwa la vijana walioaribikiwa na kujingiza katika mapenzi ya jinsia moja.
Daah ni changamoto
.... tunakomeshaje...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiihSahihi kabisa leo nilikuwa maeneo ya msikiti wa mchongomani nimekutana na kijana kwakwel Malinda mule n neh neh yaan kwisha dogo anatikisa tako kwakujiachia na saut nyororo bila woga
Vingunguti imeanza kuoza