Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Dah mkuu utakuwa unamjua vizuri mwonekano n huohuo

Kwa Sasa kijiwe Chao n Titanic bar pale relini hasa mida ya saa 4 usiku
Sasa wee Mlongo kwann huwa unaenda hapo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kuwaonaa eeeeh???
 
Ushoga ni janga kama measures halichukuliwi ni tatizo kubwa,hata huku jf ni tatizo kubwa wapo wengi tuu ,nafikiri adhabu iongezwe watu wanyongwe,wahanga wakubwa ni watoto wa kiume
Kunyongwa sio solution. Watibiwe kama watu wenye matatizo ya akili wanavotibiwa.

Kitakwim hii inasaidia zaid kuliko kunyonga. Kunyonga watu watakua mashoga kisirisiri, kwan mashekhe wangapi wanakula mashoga kisiri-siri? Watu wangapi wanakula wanaume wenzao ila wakija huku nje wanajikuta kukemea?

Pia tuishi vzr na watoto wetu wa kiume, tusitie mimba wanawake na kuwatelekeza. Tukae kama "father figure" kwa vijana wetu. Hii pia itasaidia na kupunguza wahalifu. Maana ukienda magereza utaona wahalifu wengi wametoka katk familia isiokua na baba. Au baba aliepo ni mlevi, hajali familia, migogoro na mkewe kila kukicha, yan yupo kama hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kumbe sio matakwa yao kuwa mashoga bali ni Hormone im-balance. Basi tusiwatenge tuwaonyeshe upendo na Wapatiwe elimu ya Ujinsia wapate kucontrol Mind set zao
Shida hawa watu ukiwaambia ivo wanachukia, wanataka tuuwe watu... hahah. Pope alivosema hili wakaanza kusema ana support ushoga. Ukilisema hili wanasema unasupport ushoga.

Mm binafsi nikiwa na mtoto wa kiume ikatokea akawa anavutiwa na wanaume wengine sitotaka auwawe wala sitotaka aendelee kua shoga. Kuna njia za kumbadili tu najua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewee ndo mzazi boraaaa sanaaaa.
 
Mkuu unaweza kushare njia hizo za kumbadili kwa Faida ya wengi??
 
Kubadilika anaanza yeye kutaka muhusika, vunginevyoo atakua anaigiza.

Ushoga n jambo LA muhusika, anapaswaa yeye kuanza kuukataa, LA sivyo ni buree tyuuh.
Kwaiyo mkuu ushoga Tunaweza kuufananisha na uraibu kama uraibu mwingine mf. betting, Sigara, pombe.kunywa soda, punyeto Nk

Maana ivyo vyote mtu akiamua kuacha anaacha Tu.
 
Kubadilika anaanza yeye kutaka muhusika, vunginevyoo atakua anaigiza.

Ushoga n jambo LA muhusika, anapaswaa yeye kuanza kuukataa, LA sivyo ni buree tyuuh.
Sasa vijana na watoto wote wanataka kuwa kama wale watangazaji na wao wamiliki range wanaende dubai na wao...

Ova
 
Kwaiyo mkuu ushoga Tunaweza kuufananisha na uraibu kama uraibu mwingine mf. betting, Sigara, pombe.kunywa soda, punyeto Nk

Maana ivyo vyote mtu akiamua kuacha anaacha Tu.
Kwenye ukweli lazima tuseme,

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, wala hausiani na matatizo ya akili au mwili, na sio ugonjwa.

Maana hata km ni hoja ya hormonal imbalances bado haileti mantiki au sababu mtu awe shoga. Couz unaweza kuwa na matatizo ya hormone na bado kuwa straight tena rijali haswaaa.

Na hata km itakuja hoja ya uhanithi, bado haileti maana mtu awe shoga, anaweza kuwa hanithi na akawa hivyo na asiwe shoga.

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, ila huwa tunasingizia ni ugonjwa au matatizo ya hormone, ila ni uongo mtupuuu.

Yaan hata awe shogaa mzoefu kiasi gan, ila akiamua kuukataa na kuachaa anaweza kabisaaa tena bila shida, ila yeye muhusika ndo aamue kwa dhati.

Ushoga ni uraibuuu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penye ukweli nasimamia hapo,
 
Mkuu nakazia apo na kama sio uraibu basi ni kuendekeza na kuigizia tabia za magharibu. Yaani uMagharibi ndio unaopoteza vijana wetu. Mungu atunusuru
 
Sasa vijana na watoto wote wanataka kuwa kama wale watangazaji na wao wamiliki range wanaende dubai na wao...

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa hatareee tupuuu.
Woiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…