Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kubadilika anaanza yeye kutaka muhusika, vunginevyoo atakua anaigiza.

Ushoga n jambo LA muhusika, anapaswaa yeye kuanza kuukataa, LA sivyo ni buree tyuuh.
Kwaiyo mkuu ushoga Tunaweza kuufananisha na uraibu kama uraibu mwingine mf. betting, Sigara, pombe.kunywa soda, punyeto Nk

Maana ivyo vyote mtu akiamua kuacha anaacha Tu.
 
Kubadilika anaanza yeye kutaka muhusika, vunginevyoo atakua anaigiza.

Ushoga n jambo LA muhusika, anapaswaa yeye kuanza kuukataa, LA sivyo ni buree tyuuh.
Sasa vijana na watoto wote wanataka kuwa kama wale watangazaji na wao wamiliki range wanaende dubai na wao...

Ova
 
Kwaiyo mkuu ushoga Tunaweza kuufananisha na uraibu kama uraibu mwingine mf. betting, Sigara, pombe.kunywa soda, punyeto Nk

Maana ivyo vyote mtu akiamua kuacha anaacha Tu.
Kwenye ukweli lazima tuseme,

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, wala hausiani na matatizo ya akili au mwili, na sio ugonjwa.

Maana hata km ni hoja ya hormonal imbalances bado haileti mantiki au sababu mtu awe shoga. Couz unaweza kuwa na matatizo ya hormone na bado kuwa straight tena rijali haswaaa.

Na hata km itakuja hoja ya uhanithi, bado haileti maana mtu awe shoga, anaweza kuwa hanithi na akawa hivyo na asiwe shoga.

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, ila huwa tunasingizia ni ugonjwa au matatizo ya hormone, ila ni uongo mtupuuu.

Yaan hata awe shogaa mzoefu kiasi gan, ila akiamua kuukataa na kuachaa anaweza kabisaaa tena bila shida, ila yeye muhusika ndo aamue kwa dhati.

Ushoga ni uraibuuu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penye ukweli nasimamia hapo,
 
Mkuu nakazia apo na kama sio uraibu basi ni kuendekeza na kuigizia tabia za magharibu. Yaani uMagharibi ndio unaopoteza vijana wetu. Mungu atunusuru
 
Sasa vijana na watoto wote wanataka kuwa kama wale watangazaji na wao wamiliki range wanaende dubai na wao...

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa hatareee tupuuu.
Woiiiiiiih.
 
kuna moja alikuwa ticha wangu likawa linaomba nilikoboe aise dahh sikuamini kabisa. cha ajabu ana mke na watoto kabisa na amejiajiri na kazi zake safii dahh
 
Mimi mwenyewe nilishuhudia madogo wanafanyana hiyo michezo usawa wa dirishani kwangu, nikamtafuta mama wa yule mtoto aliekuwa anafanyiwa vile akawa ananikwepa kwepa mwisho wa siku akanicheki akaniambia nasikia ulikuwa unanitafuta, nikamwambia ndio kuna moja mbili tatu kuhusu mwanao. To my surprise yule bimkubwa akaanza nambia hii sio mara ya kwanza mwanzoni tulipokuwa tunakaa kunamtoto wa darasa la sita alikuwa anawafanyia hivyo, ikawa imeishia hivyo ni kama bimkubwa anachukulia poa. Tangu siku hiyo nikajiapiza hata nikute mtoto wa nani kainamishwa hapo anapigwa miti sitohangaika nae wala kujigusa.
Nilikoma!!!
 
Sasa na yeye aliacha chuo kwanini? Yaan sijui kwann Gays wengi wa Bongo hawapendi Elimu au Kusoma.

Sijui wanawaza nn, sasa anaacha chuo ili iwejee?? Ili adange vizuri? Tobaaaaaah lol
Sasa asome ili iweje wakati kashajitoa kwenye kundi la wanaume anajiandaa kuwa mke wa mtu aolewe pumbavu zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko alikukomeshaaa na umbea wako, lilikushuka shuu.
Had aibu maskinii wee.
 
Sasa asome ili iweje wakati kashajitoa kwenye kundi la wanaume anajiandaa kuwa mke wa mtu aolewe pumbavu zake.
Wapo sasa wa kuoa gays Bongo hii?? Hata walio bahatika kufanywa nyumba ndogo ni wachache mno na wengi wana Elimu au carrier fulaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeeh mbna huko vingunguti kuna mambo ya kusikitisha hvyo. Uwiiiiiih

Nimecheka had bas lol
Kipya kinyemi!

Mida kabla wakury ukimwambia wee basha yuko tayari kupigana, lakini ukimwambia wee msenge anafurahi mii msenge bana![emoji56][emoji38][emoji38] walikuwa hawajui maana ya maneno hayo![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Lakini siku hizi wana test yao kwa mashogä utasikìa jamba tuone ikilia kama honi anapiga makofi anaamini wamo ni mnato akisikia pa pa papapapaaa pwaaa utasikìa unataka kuniibia chimba au chukua buku...[emoji56][emoji24][emoji24]
 
Twende kwenye mada.

Kabla ya kupondea au kukemea jambo ni vyema ukajisafisha kwanza wewe mwenyewe ndipo uje ukemee huo ushoga.

Kwa mganga wa kienyeji hukatiki mguu, ukipitia changamoto kidogo tu unakimbilia kijijini kuroga.

Kazi umepata kwa rushwa, kazini kila siku unaiibia serikali , wake za majirani unawafanya wake zako
Yet unajifanya Mtakatifu na kupondea ushoga.

Swali: Huo utakatifu wa kuuponda ushoga umeutoa wapi?

Sheria za torati ziko hivi; ukiivunja moja wewe unahesabiwa umekipuuza kitabu chote.

Mimi sio shoga na sili mashoga ila napinga unafiki wa mtu mweusi kujihesabia haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…