Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Ni simba jike hao. Imekua observed hata simba wengine wanapandana jike kwa jike...Blah blah hizo. Mimi nafuga Mbuzi, Ng'ombe na Mbwa sijawahi ona Mbuzi dume akipandwa na Mbuzi dume au Ng'ombe dume akipandwa na Ng'ombe dume. Sijawahi ona Mbwa dume kwa dume wakipandana na hata hiyo link yako hakuna sehemu wamesema Simba dume anampanda simba Simba dume mwenzio.
Duuuh maskini, yaan Gays wa Bongo lol.
Ndyooo huyu shangazi mkuu wa wajomba mareshi.
Wewe ni gay wa wapi?Duuuh maskini, yaan Gays wa Bongo lol.
Poleee yake
[emoji1054]BrazilWewe ni gay wa wapi?
Hatari sanaMimi mwenyewe nilishuhudia madogo wanafanyana hiyo michezo usawa wa dirishani kwangu, nikamtafuta mama wa yule mtoto aliekuwa anafanyiwa vile akawa ananikwepa kwepa mwisho wa siku akanicheki akaniambia nasikia ulikuwa unanitafuta, nikamwambia ndio kuna moja mbili tatu kuhusu mwanao. To my surprise yule bimkubwa akaanza nambia hii sio mara ya kwanza mwanzoni tulipokuwa tunakaa kunamtoto wa darasa la sita alikuwa anawafanyia hivyo, ikawa imeishia hivyo ni kama bimkubwa anachukulia poa. Tangu siku hiyo nikajiapiza hata nikute mtoto wa nani kainamishwa hapo anapigwa miti sitohangaika nae wala kujigusa.
Nilikoma!!!
Tukueleweje? Wewe unaunga mkono ushoga?Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Mkuu mbona unaumia sana, Unapinga utoaji mimba lakini unauza vifaa kwa kutolea mimbaUlikuwa na haja gani kuurudia uzi wa Nyani ngabu kujifanya unaanzisha point.?
Kwahiyo wewe hupingi ushoga?
Kwahiyo kwa sababu mashoga wanatumia magari basi sisi tusitumie magari?
Acheni kujipromoti wajinga nyinyi.
Una hela ya kununua iphone?, Tuanzie hapo kwanzaTupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Acha kuchafua watu na story zako za kijinga. Steve Jobs hakuwahi kuwa shoga na alikuwa na mke na watoto watatu, wa kiume akiitwa Reeds. Hebu leta uthibitisho hapa wa andiko alilojitangaza yeye Ni shoga..Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Point yako mbona haina relation ya kifiro na iphone 😀. Wafanyakazi wote wa apple ni mashoga? Yani tusitumie product fulani kisa tu mwanzilishi alikuwa shoga, ama walitangaza hizo iphone ni kwa ajiri ya mashoga😀😀 tafuta namna nzuri ya kuconnect mawazo yakoTupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Dini zililetwa na wazungu na tukazipokea kwa mikono miwiliTatizo kubwa ni watu kuacha dini .Mleta mada ujinga alioandika ni kwa sababu ya kupuuza dini
Biblia imeandika wazi kuwa mukienda sokoni hamtakiwi kuuliza uliza maswali kama hayo
Fikiria unaenda sokoni unaanza kuuliza kuwa huo.mchele nanunua ulilomwa na shoga au la ili uamue kununua au uko dukani au kondakta kwenye daladala unauliza pesa unayopewa unahoji hii pesa unayonipa wewe shoga au la kabla kupokea.Daladala lote unahoji kila abiria ili ujue ni shoga au la kabla kupokea au kukataa hela yake ya nauli
Dini mtu ukitekekeza ni rahisi sana kuwa mjinga tena aliyekubuhu
Mleta mada mrudie Mungu ili akili ikurudie
Mila zetu pia na desturi zinatambua kazi halali na zinahimiza watu kufanya kazi halali kama kulima,kufuga na kutengeneza bidhaa mbalimbaliDini zililetwa na wazungu na tukazipokea kwa mikono miwili
Wa Afrika tulikuwa na mila na tamaduni zetu
Usitake kujificha kwenye kichaka cha dini Zilizoletwa na wazungu Afrika