Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana



Kwani mimi nikinunua hiyo I phone naathirika vipi na huo ushoga wao ?? Au wao wanaathirika vipi katika ushoga wao mimi nikiinunua hiyo I phone?? Au mimi napata dhambi gani kwa kununua hiyo I phone?? Au mtu akitumia hiyo I phone naye anaweza kuwa shoga??.

Kifupi mada yako haina mantiki isipokuwa unataka kutangaza tuone kumbe hata kiwanda cha Iphone ni mali ya mashoga. Unataka tujue kwamba licha ya ushoga wao lakini wanazalisha bidhaa maarufu duniani. Licha ya kuzalisha hiyo bidhaa ushoga wao utabaki kuwa laana na ushoga wao auhusiani na Iphone zao kwani utengenezaji wa Iphone unahusisha elimu ya sayansi na sio uchafu wa ushoga wao.
 
Kumbe kuna iPhones za msaada huko zinapeanwa na mko kimya tu!
 
Kwani mimi nikinunua hiyo I phone naathirika vipi na huo ushoga wao.

Unakuwa umeunga mkono ushoga maana kampuni la IPHONE linamilikiwa na mashoga na wote wanaunga mkono ushoga. TENA KWA DHATIIII, na wanatumia nembo ya USHOGA.

Ukinunua bidhaa zao unakuwa part and parcel of the LGBT. Unakuwa muungaji mkono wa MABWABWA na BIDHAA zao.

Unawezaje ukala nguruwe halafu ukasema hupendi nguruwee!! Eeeeeehh????
 
At least aweke wazo zima kwenye stanza mojaπŸ˜…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbwa-LGBT.
 
Mkuu mnaandika maneno magumu sana ndio maana hizi nyuzi zinazohusu mambo hayo huwa naziruka daah...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usiziruke. Ukweli mchungu kama panado.

Lazima tupasue majipu kweli kweli bila huruma.

Unapasua jipu mpaka linabasti na kububujika uroto. Hapo sasa unasema Yeeeesssssss, jipu limetumbuka IPASAVYO.
 
Kama ile kampuni ingekuwa ya mashoga na maanisha mtu haruhusiwi kuajiriwa kama sio Shoga hapo ingeleta maana; lakini kama kuna mtu ameajiriwa kwa utashi wake mwenyewe akaamua kuwa shoga, sioni kama kuna tatizo kumiliki vifaa vyovyote vya apple.
Au pengine kama kungekuwa na program za ushoga kwenye hicho kifaa unge eleweka ila Iphone ni kifaa tu ambacho unaweza kukitumia vizuri kupinga ushoga
Nafikiri tusichukulie vitu juu juu......
 
Nilichogundua mtoa post hana pesa ya kununua iphoneπŸ˜…,na anatamani sana kutumia iphone πŸ˜‚.. Anaikashifu sana
 


Hivi mwizi mzoefu akinunua gari na likawa linatoa huduma ya usafiri na mimi nikapanda na kulipa nauli, je kosa langu hapo ni lipi??.

Nikinunua Iphone na kuanza kuitumia inanishawishi kitu gani cha Ushoga??
 
Kama ile kampuni ingekuwa ya mashoga na maanisha mtu haruhusiwi kuajiriwa kama sio Shoga hapo ingeleta maana
BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI NI MASHOGA. Unawezaje kusema kampuni sio ya mashoga?

The top authority of the company wanaunga mkono ushoga kwa DHATIIIII na wanashirikiii kwenye vitendo hivyoo kwa uwaziiiii.

Unahitaji miwani ganii kubainii kwamba APPLE ni LGBT Champions???

Na ingependeza kama wangeweka LOGO YA UPINDE kwenye zile simu ili wawabamize vizuri.

Na ukiwasha simu ukutane na madume yanabusiana na kulana denda kama ile mikono ya kwenye NOKIAA.
 
Ulikuwa na haja gani kuurudia uzi wa Nyani ngabu kujifanya unaanzisha point.?

Kwahiyo wewe hupingi ushoga?

Kwahiyo kwa sababu mashoga wanatumia magari basi sisi tusitumie magari?

Acheni kujipromoti wajinga nyinyi.
kwani naye ni miongoni?
 
Hivi mwizi mzoefu akinunua gari na likawa linatoa huduma ya usafiri na mimi nikapanda na kulipa nauli, je kosa langu hapo ni lipi??
Huna kosa ila umeunga mkono wiziii bila kujua.

Hata kama haujui kuwa unaunga mkono lakini ndio umeshaunga mkonoo.

Haijalishiii. Kuunga mkono ni kuunga mkono, uwe unajua au haujuii lakini ndio umeunga mkonooo na matokeo yake ni halisii.
 
Nimesema hivi: kama kuwa shoga ingekuwa ni sharti la kuajiriwa, hoja yako ingekuwa na mashiko.
Lakini kama hata mlokole anaweza kuajiriwa pale, basi ushoga ni tabia binafsi ya wafanyakazi
Mwisho: Naomba uthibitishe kuwa Bodi ya wakurugenzi wote ni mashoga; weka link hapa tusome?
Logo ya Apple ilikuwepo hata kabla ya ushoga hivyo usi ihusishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…