Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Kwani mimi nikinunua hiyo I phone naathirika vipi na huo ushoga wao ?? Au wao wanaathirika vipi katika ushoga wao mimi nikiinunua hiyo I phone?? Au mimi napata dhambi gani kwa kununua hiyo I phone?? Au mtu akitumia hiyo I phone naye anaweza kuwa shoga??.
Kifupi mada yako haina mantiki isipokuwa unataka kutangaza tuone kumbe hata kiwanda cha Iphone ni mali ya mashoga. Unataka tujue kwamba licha ya ushoga wao lakini wanazalisha bidhaa maarufu duniani. Licha ya kuzalisha hiyo bidhaa ushoga wao utabaki kuwa laana na ushoga wao auhusiani na Iphone zao kwani utengenezaji wa Iphone unahusisha elimu ya sayansi na sio uchafu wa ushoga wao.