Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Nyie ni wale wale tu

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Nasema uongo ndg zanguuuuhhh?[emoji116][emoji116]
Screenshot_20220918-152442.jpg
Screenshot_20220918-152541.jpg
Screenshot_20220918-152641.jpg
Screenshot_20220918-153011.jpg
Screenshot_20220918-153049.jpg
Screenshot_20220918-153159.jpg
Screenshot_20220918-153252.jpg
Screenshot_20220918-153518.jpg
Screenshot_20220918-153702.jpg
 
Idadi ya mapenzi ya jinsia moja tz ni kubwa sana hadi marafiki zangu nao wamo
You can agree with me kwamba the rate of same sex relationship in Tanzania is higher than we think.

You can expect someone to be a pure straight but behind the scene is a secret gay

Others are married but they continue to hold this relationship but secretly.

There a lot of people thousands up to hundred thousands of people who engage on this issues

Wapo wengi sana kiwango cha wanaojihusisha ni kikubwa sana hapa sizungumzii wafanywaji nazungumzia wote, wafanyaji na wafanywa.

Bado hawa ambao wapo kwenye ndoa ambazo wakitongozwa na gays huko mitandaoni wanaaccept

Hapa bongo katika watu 100 wanaotongozwa na gays 20 tu ndo wanakua na uwezo wa kukataa hao 80 wanaingia mazima.

Wengine wasio na interests wataomba kwanza hela ili wamfanye mfanywa hivyo

Tusijigambe tupo salama, hatupo salama hata kidogo halafu ndio waongoza kwa unafiki wa kuwakandia na kuwaponda mashoga na ndo wanaongoza kwa kujifanya kuandika "mungu tulindie kizazi chetu" kumbe ndo wanaongoza kwa kuwafanya gays bongo bila unafiki mambo hayaendi

Wanaongoza kwa kujifanya kuwakandia na kuwachukia mashoga ukifatilia wengi wao 98% ndo wanaongoza kwa kutembea na mashoga au ndo mashoga wenyewe mtu anawakandia ila akifika huko inbox analainika tu na kuomba radhi kabisa kwamba samahani pale nilijifanya kuwachukia ila nimefanya hivyo ili watu waone nawaunga mkono ila haya mambo napenda.

Kuna NG'O moja nilijivolunteer majuzi ni balaa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni wengi kuliko nilivyodhani wamo waheshimiwa, watu wa dini, wasanii, na kila aina ya watu huo mtandao ni mpana sana.

Sio poa kwakweli hata hivyo ndo maana simuamini mtu juu ya haya mambo unakuta mtu ndo yule yule kuna rafiki yangu nilikua namuamini sana tena yupo huko kwenye idara fulani hivi ukimsikiliza anavyokandia na kusimamia misimamo kindakindaki, nilikuja kugundua yeye na jamaa mmoja niliyekua namuheshimu tokea shuleni alikua kijana mtanashati kuwa nao wana mahusiano ya muda mrefu sana ya jinsia moja.

Jamaa akitoka huko kambini akija tu wanaenda kula bata na mshikaji mara mahotelini kila sehemu nikawa nashangaa mimi na washikaji zake wengine mbona sisi wanae mbona kama katutenga hivi?maana muda wote akija anakua busy na huyo jamaa mwingine kumbe nao ni wale wale niligundua miezi kadhaa iliyopita na sijawahi kumuuliza wala sitomuuliza nimegundua huku duniani unafiki upo mkubwa sana.

Kwa hali ilivyo sina binafsi sina msimamo wowote kwasasa nimebadilika sana sio kwamba nasapoti haya mambo mimi siungi mkono wala sitokaa kuunga mkono lakini haimaanishi nawachukia wanaofanya hivyo mimi nipo neutral katika hili maana bado safari ya ubaba ndo imeanza ndo kwanza mtoto mmoja sitarajii wanangu wawe hivi na naomba mungu aniepushie hili kwa watoto wangu, kwahiyo siwezi kuwa na msimamo juu ya hao wanaofanya hivyo maana siijui kesho yangu, kila mtu atahukumiwa na mungu kulingana na anayoyafanya.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Kwa akili niliyoipata nimegundua wewe ndo shoga, unajaribu kuhamasisha watu tuone kama jambo hilo ni la kawaida kwa watu wengi hapa nchini kiasi na unaowaambia hapa yamkini waingie huko na unajaribu kutuambia hapo mwisho kwamba tusiwachukie mashoga.

Sikia pumbavu, lishoga likipita mbele yangu nalitwanga nyundo ya utosini
 
Mara 100 kukaa karibu na kichaa na mtu mchafu nikala kuliko hayo majamaa, akipanda kama daladala nikijua nashuka yanatia kichechepu.

Tuje kwakoo we !! Utakuwa hanithi pia how comes you keeping walking around them as friends ? Are you among them ?
 
Idadi ya mapenzi ya jinsia moja tz ni kubwa sana hadi marafiki zangu nao wamo
You can agree with me kwamba the rate of same sex relationship in Tanzania is higher than we think.

You can expect someone to be a pure straight but behind the scene is a secret gay

Others are married but they continue to hold this relationship but secretly.

There a lot of people thousands up to hundred thousands of people who engage on this issues

Wapo wengi sana kiwango cha wanaojihusisha ni kikubwa sana hapa sizungumzii wafanywaji nazungumzia wote, wafanyaji na wafanywa.

Bado hawa ambao wapo kwenye ndoa ambazo wakitongozwa na gays huko mitandaoni wanaaccept

Hapa bongo katika watu 100 wanaotongozwa na gays 20 tu ndo wanakua na uwezo wa kukataa hao 80 wanaingia mazima.

Wengine wasio na interests wataomba kwanza hela ili wamfanye mfanywa hivyo

Tusijigambe tupo salama, hatupo salama hata kidogo halafu ndio waongoza kwa unafiki wa kuwakandia na kuwaponda mashoga na ndo wanaongoza kwa kujifanya kuandika "mungu tulindie kizazi chetu" kumbe ndo wanaongoza kwa kuwafanya gays bongo bila unafiki mambo hayaendi

Wanaongoza kwa kujifanya kuwakandia na kuwachukia mashoga ukifatilia wengi wao 98% ndo wanaongoza kwa kutembea na mashoga au ndo mashoga wenyewe mtu anawakandia ila akifika huko inbox analainika tu na kuomba radhi kabisa kwamba samahani pale nilijifanya kuwachukia ila nimefanya hivyo ili watu waone nawaunga mkono ila haya mambo napenda.

Kuna NG'O moja nilijivolunteer majuzi ni balaa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni wengi kuliko nilivyodhani wamo waheshimiwa, watu wa dini, wasanii, na kila aina ya watu huo mtandao ni mpana sana.

Sio poa kwakweli hata hivyo ndo maana simuamini mtu juu ya haya mambo unakuta mtu ndo yule yule kuna rafiki yangu nilikua namuamini sana tena yupo huko kwenye idara fulani hivi ukimsikiliza anavyokandia na kusimamia misimamo kindakindaki, nilikuja kugundua yeye na jamaa mmoja niliyekua namuheshimu tokea shuleni alikua kijana mtanashati kuwa nao wana mahusiano ya muda mrefu sana ya jinsia moja.

Jamaa akitoka huko kambini akija tu wanaenda kula bata na mshikaji mara mahotelini kila sehemu nikawa nashangaa mimi na washikaji zake wengine mbona sisi wanae mbona kama katutenga hivi?maana muda wote akija anakua busy na huyo jamaa mwingine kumbe nao ni wale wale niligundua miezi kadhaa iliyopita na sijawahi kumuuliza wala sitomuuliza nimegundua huku duniani unafiki upo mkubwa sana.

Kwa hali ilivyo sina binafsi sina msimamo wowote kwasasa nimebadilika sana sio kwamba nasapoti haya mambo mimi siungi mkono wala sitokaa kuunga mkono lakini haimaanishi nawachukia wanaofanya hivyo mimi nipo neutral katika hili maana bado safari ya ubaba ndo imeanza ndo kwanza mtoto mmoja sitarajii wanangu wawe hivi na naomba mungu aniepushie hili kwa watoto wangu, kwahiyo siwezi kuwa na msimamo juu ya hao wanaofanya hivyo maana siijui kesho yangu, kila mtu atahukumiwa na mungu kulingana na anayoyafanya.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
We jamaa utakuwa MELI unapakuliwa,umeona ulete uzi wa wenzako Pumbavu zako
 
So what,hayakuanza leo,sio mageni,tangu sodoma yalikuwepo,yapo,yatakuwepo,just ishi maisha yako mangi,kama watu wanaamua kuuza Malinda au kununua Malinda,we haitakiwi kuhusu,kila mtu ana maisha yake,
 
Back
Top Bottom