Sitaki kuwataja majina yao,
lakini tunakoelekea ni kuangamiza jamii kwa upumbavu wa hawa tunaowaita wasanii,
kwanzia mavazi yao shereje zao, juzi nilikia naangalia uzinduzi wa EP ya mboso nilisikitika sana, mwanaume kavaa pensi nakatika nyuma ya kiuno cha mwanaume mwenzie na watu wanashangilia,
huu ni upumbavu, hata kama nchi ina uhuru lakini uhuru uwe na mipaka yake, sisi sio wazungu ijulikane hivyo na ibaki hivyi hivyo!
Taifa linaingizwa kwenye Laana kubwa! mashoga wote na wenye indication za ushonga weka jera uko wakatusaidie kulima,
Baraza la sanaa mko wapi kutwa kuchwa viashiria vya ushoga vinaongezeka kupitia hawa wasanii wenu?
View attachment 2401990
Nuhu Mziwanda, msanii wa Bongo fleva👆👆