DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Sijaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona timu upinde upoKila wkt ushoga ushoga....unakuwasha nin?
Komaa sali sana wanao wa kiume wasijiingize huko
Nimegundua wewe ni mhangaNaona timu upinde upo
Ni jambo jema lakini cute kupinga ushogaKila wkt ushoga ushoga....unakuwasha nin?
Komaa sali sana wanao wa kiume wasijiingize huko
Amen1. Acheni na ujinga wa kuangalia picha na video za ngono (pornographies).
2. Acheni kuendekeza kuiga iga mila na desturi za nchi zingine kama kuvaa vinguo vifupi, vinavyobana na kuonesha nyeti za miili.
3. Acheni kuangalia tamthilia za kizungu na hata muvi za vikatuni zinaonesha na kuhamasisha ushoga dhahiri.
4. Acheni kuwaachia malezi Maids pekee na kila siku fatilia nyendo za Watoto (Ke & Me) pamoja na marafiki anaohusiana nao.
5. Muwe marafiki na Watoto kwa ukaribu wa maongezi si kuwa wakali tu muda wote ili waweze kufunguka yanayowasibu hata kama wametishiwa amani.
6. Elimu itolewe mapema kwa uwazi wote hata kama ni maneno mazito yatamsaidia kujua athari kwa maisha yake yote.
7. Wapeni Watoto uhuru wa kiasi si lazima kila anachotaka apewe, mfano simu, laptop na pia hata akiwa na marafiki zake asizoee kabisa asije kushawishiwa/kushawishika.
8. Wazoeze Watoto kutumia muda mwingi kusoma, NENO LA MUNGU na vitabu vya maarifa ya kimaisha kama Afya, ufundi umeme n.k
9. Malezi ya Watoto yawe jukumu la Wazazi wote wawili inapobidi akanywe papo kwa hapo kwa kosa kubwa wala si la kumsubiria Mzazi mwingine hadi arudi home toka kazini.
10. MUHIMU HASA;
Tuombee familia zetu (Baba, Mama & Watoto) kila siku maana wakati mwingine Watoto hurushiwa mapepo na kukataa uadilifu kabisa hata kama awali walikuwa wema.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
1. Acheni ujinga wa kuangalia picha na video za ngono (pornographies) sababu zina roho chafu za kujaa hata Watoto.
2. Acheni kuendekeza kuiga iga mila na desturi za nchi zingine kama kuvaa vinguo vifupi, vinavyobana na kuonesha nyeti za miili na malezi ya kisasa (kimayai mayai kama akina Junior).
3. Acheni kuangalia tamthilia za kizungu na hata muvi za vikatuni zinaonesha na kuhamasisha ushoga dhahiri, pia hata nyimbo za video za miziki ya kisasa hazina maadili kwa kuwa ni picha za uchi tupu na matusi mfano singeli.
4. Acheni kuwaachia malezi Maids pekee na kila siku fatilia nyendo za Watoto (Ke & Me) pamoja na marafiki anaohusiana nao.
5. Muwe marafiki na Watoto kwa ukaribu wa maongezi si kuwa wakali tu muda wote ili waweze kufunguka yanayowasibu hata kama wametishiwa amani.
6. Elimu itolewe mapema kwa Watoto kwa uwazi wote hata kama ni maneno mazito yatamsaidia kujua athari kwa maisha y
Sasa kama hujui kule ndio kuna mpaka trans gender sasa. Yani kuliko kua shoga ni bora ubadili jinsia. Tena nchi kama Iran wakikunasa ww ni shoga wanakupa option either wakubadil jinsia uwe dem au wakuue...kweli nakwambia! itakua unawafananisha na waarabu wa Oman ila sio watalibani wa afaghanstan
kule hata pensi hurusiwi kuvaa ni wewe na kanzu tu
NopeNa wewe ni shoga?
Amna kitu hapoIlitaka kufungwa, ko wamebadilisha jina, inaitwa CHACHAZ. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basha mende topNa wewe ni shoga?
Ushoga unachangiwa na kukaa muda mrefu bila kutafuna k mtu hata kuoa hataki matokeo yake anazidiwa na ukame mpaka analawiti vitoto.1. Acheni ujinga wa kuangalia picha na video za ngono (pornographies) sababu zina roho chafu za kujaa hata Watoto.
2. Acheni kuendekeza kuiga iga mila na desturi za nchi zingine kama kuvaa vinguo vifupi, vinavyobana na kuonesha nyeti za miili na malezi ya kisasa (kimayai mayai kama akina Junior).
3. Acheni kuangalia tamthilia za kizungu na hata muvi za vikatuni zinaonesha na kuhamasisha ushoga dhahiri, pia hata nyimbo za video za miziki ya kisasa hazina maadili kwa kuwa ni picha za uchi tupu na matusi mfano singeli.
4. Acheni kuwaachia malezi Maids pekee na kila siku fatilia nyendo za Watoto (Ke & Me) pamoja na marafiki anaohusiana nao.
5. Muwe marafiki na Watoto kwa ukaribu wa maongezi si kuwa wakali tu muda wote ili waweze kufunguka yanayowasibu hata kama wametishiwa amani.
6. Elimu itolewe mapema kwa Watoto kwa uwazi wote hata kama ni maneno mazito yatamsaidia kujua athari kwa maisha yake yote.
7. Wapeni Watoto uhuru wa kiasi si lazima kila anachotaka apewe, mfano simu, laptop na pia hata akiwa na marafiki zake asizoee kabisa asije kushawishiwa/kushawishika.
8. Wazoeze Watoto kutumia muda mwingi kusoma, NENO LA MUNGU na vitabu vya maarifa ya kimaisha kama Afya, ufundi umeme n.k
9. Malezi ya Watoto yawe jukumu la Wazazi wote wawili inapobidi akanywe papo kwa hapo kwa kosa kubwa wala si la kumsubiria Mzazi mwingine hadi arudi home toka kazini.
10. MUHIMU HASA;
Tuombee familia zetu (Baba, Mama & Watoto) kila siku maana wakati mwingine Watoto hurushiwa mapepo na kukataa uadilifu kabisa hata kama awali walikuwa wema.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nguo fupi mbona ndio mila zetu na desturi kaka1. Acheni ujinga wa kuangalia picha na video za ngono (pornographies) sababu zina roho chafu za kujaa hata Watoto.
2. Acheni kuendekeza kuiga iga mila na desturi za nchi zingine kama kuvaa vinguo vifupi, vinavyobana na kuonesha nyeti za miili na malezi ya kisasa (kimayai mayai kama akina Junior).
3. Acheni kuangalia tamthilia za kizungu na hata muvi za vikatuni zinaonesha na kuhamasisha ushoga dhahiri, pia hata nyimbo za video za miziki ya kisasa hazina maadili kwa kuwa ni picha za uchi tupu na matusi mfano singeli.
4. Acheni kuwaachia malezi Maids pekee na kila siku fatilia nyendo za Watoto (Ke & Me) pamoja na marafiki anaohusiana nao.
5. Muwe marafiki na Watoto kwa ukaribu wa maongezi si kuwa wakali tu muda wote ili waweze kufunguka yanayowasibu hata kama wametishiwa amani.
6. Elimu itolewe mapema kwa Watoto kwa uwazi wote hata kama ni maneno mazito yatamsaidia kujua athari kwa maisha yake yote.
7. Wapeni Watoto uhuru wa kiasi si lazima kila anachotaka apewe, mfano simu, laptop na pia hata akiwa na marafiki zake asizoee kabisa asije kushawishiwa/kushawishika.
8. Wazoeze Watoto kutumia muda mwingi kusoma, NENO LA MUNGU na vitabu vya maarifa ya kimaisha kama Afya, ufundi umeme n.k
9. Malezi ya Watoto yawe jukumu la Wazazi wote wawili inapobidi akanywe papo kwa hapo kwa kosa kubwa wala si la kumsubiria Mzazi mwingine hadi arudi home toka kazini.
10. MUHIMU HASA;
Tuombee familia zetu (Baba, Mama & Watoto) kila siku maana wakati mwingine Watoto hurushiwa mapepo na kukataa uadilifu kabisa hata kama awali walikuwa wema.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Akiki ya bangi haiwezi kuelewa mantiki yanguOna sasa huyu nae. Unafananisha bangi na ushoga?
Sasa hapo bangi imekujaje kwenye maelezo yako...
Mkuu mbona unanimix,kuhusu kulawiti/kulawitiwa mara nyingi linakuja kama ukatili(hakuna makubaliano kati yao)..Ushoga unachangiwa na kukaa muda mrefu bila kutafuna k mtu hata kuoa hataki matokeo yake anazidiwa na ukame mpaka analawiti vitoto.
Sasa kama mtu analawiti watoto, atashindwa kutafuna me wenzake?
Serikali ina usafi gani?Serikali mbona iko kimya kuhusu huu uchafu