Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Wale wale tukwani naye ni miongoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wale tukwani naye ni miongoni?
Ha ha ha ha dadeki.Chakula cha shoga kinanuka MAVI. Usile.
Kamvunjia sana heshima marehemu Steve Jobs. Kanikera bwege huyu.Acha kuchafua watu na story zako za kijinga. Steve Jobs hakuwahi kuwa shoga na alikuwa na mke na watoto watatu, wa kiume akiitwa Reeds. Hebu leta uthibitisho hapa wa andiko alilojitangaza yeye Ni shoga..
mleta mada usivute pumzi sababu unavuta pumzi tunayo share na mashoga ukivuta basi unasapoti ushoga
Si ndio
Baba Dillish kwema?[emoji13][emoji13][emoji13] ni mfano lkn kiuhalisia hauendani kabsaa na mada
Hayo ya kusema shoga ni yake mwenyewe
Sheria ya biadhara inatenganisha kati ya biashara na mtu binafsi
Hawa mashoga ni watu wachafu sna ki roho na ki mwili
Kwema aisee?Baba Dillish kwema?
Askari shoga mwanaume nguvu anakuwa hana kalegea kila kona ndio maana hata kuajiri hawaajiri Juzi kati tu waomba upolisi kibao walinyimwa ajira baada ya kupimwaMbona askari akiwa shoga au basha mnamfukuza kazi?
Kuna uhusiano gani kati ya uaskari na maisha yake binafsi ya ubasha?
Nazungumzia ASKARI BASHA!Askari shoga mwanaume nguvu anakuwa hana kalegea kila kona ndio maana hata kuajiri hawaajiri Juzi kati tu waomba upolisi kibao walinyimwa ajira baada ya kupimwa
Anavaa mipbasi ndani na kujinyea hovyo
Na yeye anakuwa na ulegevu dude lake kuingiza huko nguvu zake huwa legelege tu na mara nyingi mabasha ni mashoga piaNazungumzia ASKARI BASHA!
Askari basha hatakiwi jeshini sababu anageuza Askari wanaume wenye nguvu zao kuwa legelege kwa kuwaparamia kimapenziNazungumzia ASKARI BASHA!
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.Tatizo kubwa ni watu kuacha dini .Mleta mada ujinga alioandika ni kwa sababu ya kupuuza dini
Biblia imeandika wazi kuwa mukienda sokoni hamtakiwi kuuliza uliza maswali kama hayo
Fikiria unaenda sokoni unaanza kuuliza kuwa huo.mchele nanunua ulilimwa na shoga au la ili uamue kununua au uko dukani au kondakta kwenye daladala unauliza pesa unayopewa unahoji hii pesa unayonipa wewe shoga au la kabla kupokea.Daladala lote unahoji kila abiria ili ujue ni shoga au la kabla kupokea au kukataa hela yake ya nauli
Pili Biblia inatamka watu kufanya kazi halali
Kutengeneza iPhone ni kazi halali na mtu kuinunua ni halali sababu imetokana na kazi halali
Dini mtu ukitekekeza ni rahisi sana kuwa mjinga tena aliyekubuhu
Mleta mada mrudie Mungu ili akili ikurudie
Hizo amri kumi zinapatikana kwenye dini utaitaje kuwa dini ni mpango wa mwanadamuDini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.
Dini haikupeleki popote bali imani na matendo yako safi.
Watu wanauana kisa dinj, utasema watu wameacha dini? Dini zinaongoza kwa ubaguzi na unyanyasaji.
Watu wamemuacha Mungu na hawafuati amri 10 zake
Sema hauna hela ya kununua iPhone.Wengi ni majuha. Wanachovya mchuzi wanaacha nyama.
Ukikataa ushoga kataa na vyote vinavyohusika nao.
Twende na Hashtag:
#KATAA IPHONE ZA MASHOGA.
Kwa Ivo wewe ni shoga?Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga