Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hawa mashoga ni watu wachafu sna ki roho na ki mwili

Daah hata sjui wakifanya hayo mambo yao wanakua na akili za wanyama gani
 
Acha kuchafua watu na story zako za kijinga. Steve Jobs hakuwahi kuwa shoga na alikuwa na mke na watoto watatu, wa kiume akiitwa Reeds. Hebu leta uthibitisho hapa wa andiko alilojitangaza yeye Ni shoga..
Kamvunjia sana heshima marehemu Steve Jobs. Kanikera bwege huyu.
 
Mbona askari akiwa shoga au basha mnamfukuza kazi?

Kuna uhusiano gani kati ya uaskari na maisha yake binafsi ya ubasha?
Askari shoga mwanaume nguvu anakuwa hana kalegea kila kona ndio maana hata kuajiri hawaajiri Juzi kati tu waomba upolisi kibao walinyimwa ajira baada ya kupimwa

Anavaa mipbasi ndani na kujinyea hovyo
 
Tatizo kubwa ni watu kuacha dini .Mleta mada ujinga alioandika ni kwa sababu ya kupuuza dini

Biblia imeandika wazi kuwa mukienda sokoni hamtakiwi kuuliza uliza maswali kama hayo

Fikiria unaenda sokoni unaanza kuuliza kuwa huo.mchele nanunua ulilimwa na shoga au la ili uamue kununua au uko dukani au kondakta kwenye daladala unauliza pesa unayopewa unahoji hii pesa unayonipa wewe shoga au la kabla kupokea.Daladala lote unahoji kila abiria ili ujue ni shoga au la kabla kupokea au kukataa hela yake ya nauli

Pili Biblia inatamka watu kufanya kazi halali
Kutengeneza iPhone ni kazi halali na mtu kuinunua ni halali sababu imetokana na kazi halali

Dini mtu ukitekekeza ni rahisi sana kuwa mjinga tena aliyekubuhu
Mleta mada mrudie Mungu ili akili ikurudie
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.
Dini haikupeleki popote bali imani na matendo yako safi.
Watu wanauana kisa dinj, utasema watu wameacha dini? Dini zinaongoza kwa ubaguzi na unyanyasaji.
Watu wamemuacha Mungu na hawafuati amri 10 zake
 
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.
Dini haikupeleki popote bali imani na matendo yako safi.
Watu wanauana kisa dinj, utasema watu wameacha dini? Dini zinaongoza kwa ubaguzi na unyanyasaji.
Watu wamemuacha Mungu na hawafuati amri 10 zake
Hizo amri kumi zinapatikana kwenye dini utaitaje kuwa dini ni mpango wa mwanadamu
 
Wengi ni majuha. Wanachovya mchuzi wanaacha nyama.

Ukikataa ushoga kataa na vyote vinavyohusika nao.

Twende na Hashtag:

#KATAA IPHONE ZA MASHOGA.
Sema hauna hela ya kununua iPhone.
Ushoga na iPhone ni vitu viwili tofauti.
Niache kutumia iPhone kisa aliyevumbua ni shoga. Mbona havina uhusiano kbsa
 
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Kwa Ivo wewe ni shoga?
 
Back
Top Bottom