Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wewe ni Kati ya wale wanaume wasiojua nafasi zao kwenye jamii, na hiyo haikuondolei kosa la kutokuwajibika kama mwanaume
Polee
KINA MAMA NI TATIZO KUBWA KATIKA SUALA LA MALEZI MABOVU YA WATOTO. HUZALISHA WEZI, WAVUTA BANGI,MASHOGA NA WATOTO WA MAMA.
KWA HILI KINA MAMA HAMNA LA KUJITETEA. TEMBEA USWAZI UTAJUA NAMAANISHA NINI
 
Labda hujanisoma post zangu za nyuma, Mimi napinga vikali ushoga, lakini IPhone ndio simu Salama duniani kwa Sasa.

Mimi situmii IPhone kwa Sababu ya gharama yake lakini si kwa sababu ya ushoga.

Na ninasisitiza kama uwezo wako ni Infinix tumia hiyo ila usitafute excuse ya kutotumia IPhone eti kwa sababu ni product ya mashoga, huu ni ukosefu wa akili.

Leo mtu anipe offer ya Ki rafiki ya IPhone nitaipokea kwa mikono mwili tena nitaseti kwenye settings mjuwe Dr Matola PhD anapost akitumia IPhone pro max.

Hakuna mtu mwenye akili timamu hapendi vitu vizuri, si kwamba sina pesa ya kujinunulia IPhone latest lakini Nina vipaumbele vyangu, Mimi ni Family Man, familia inahitaji mahitaji kuliko hiyo IPhone.

Mimi wakati wa ujana ndio watu wachache tuliomiliki Blackberry curve and bold mwanzoni, huu siyo wakati wetu ila kwa vijana na wazee wenye pesa ndefu.
Hiyo PHD hukuipata bure Mkuu, Heshima kwako.
 
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
acha kutumia jf kwanza ndo upaze saut kupinga ushoga
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
acha mitaa,makanisani,misikiyini,madaktari,wanasheria waandishi wa habari,wasanii na wacheza mpira wanakulana sana
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
Utandawazi Mama D
 
Hahahaaa ndio ni MAGAY.

Unatumia SIMU YA SHOGA halafu unajifanya hupendi ushoga?

Haiwezekanii.
Hata hiyo simu yako unayotumia ni mfumo wa compyuta kwa hio tu-conclude ww ni............kwa matumizi ya vitu vya namna ya kicompyuta. sivyoooooo? Unaleta vitu kwa emotions na sio fact, please prove with emperical data and not subjective data.
 
Ahsanteni sana Mods kwa kuunganisha nyuzi zinazoongelea Ushoga, msiishie hapo tu ili kufanya hizi mada zipungue, kila mada ihusuyo ushoga iwe inaunganishwa hapa itasaidia watu kukata tamaa maana wengi hawapendi nyuzi zao kuunganishwa na hatimae hizi mada zitapungua na kuisha kabisa humu ndani.

Nitakua nawatag kila nikiona mada ihusuyo ushoga ili tupunguze kelele [emoji28]

Moderator

Cookie

Maxence Melo
 
Nilichogundua humu ndani mashoga ni wengi sana,basi mjitangaze tu
wengi sana. kama hadi askari wenye sura ngumu namna ile ni gasho? zamani nilidhani wanaume wenye sauti ndogo au wasio wakakamavu tu ndio mapunga, nimekuja kugundua kati ya hao ni wachache sana wenye tabia hizo. wengi wao ni hao mabaunsa, watu ambao ukiwaangalia kwa kawaida sometimes unaweza usiamini hii dunia ilivyo.
 
Hoja, Pinga ushoga kwa vitendo sio maneno

Unaongea huku umebeba bidhaa yenye nembo ya mashoga mfano begin Halafu unasema unapinga ushoga

Kataa ushoga kwa vitendo sio maneno ndio hoja
shida yenu mashoga akili zenu zipo kwenye makalio. kwa hiyo kwako wewe unaamini kutumia iphone iliyotengenezwa na shoga ni kufanya ushoga? una akili kweli wewe?
 
Haya mambo wengi mnayajua kwa juu.

1: watu wengi mnalaumu wazungu kwamba ndio wanaleta ushoga. Wakati wazungu hao hao ndio waliotunga na kusimamia sheria za kuadhibu wafanyao mapenzi kinyume na maumbile hapo zamani kipindi cha ukoloni. Sasa baada ya miaka mingi wazungu kuwafunga na kuwaasi mashoga wengi, wakatambua ya kwamba ushoga ni likitu ambalo lipo tangia enzi na kupambana nalo ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

Embu fikiria serikali iajiri watu special kufwatilia MSM au iwaongeze majukumu mapolisi kuwakamata wafilaji, wakati kesi za jinsi tu zinawashinda kufwatilia kwa ufanisi, huku ni kuchoshana ukiangalia sehemu kubwa nchini bado hazijapelekewa huduma za kijamii. Waafrika tunapaswa kutumia akili kama wazungu kwenye kufikiri, hamna haja serikali kuingilia kati. Ukisema uwauwe hapo unapoteza nguvu kazi huku na wengine wanazaliwa. Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

2. Watu wanapinga ushoga kwa kutumia vigezo vya vitabu vya kidini. Nashindwa kuelewa shida ipo wapi, ukisoma kwa uelewa mafundisho ya kikristo kuna mafundisho juu ya kuhukumu, kuna mifano juu ya mwanamke kahaba mbele ya bwana yesu, kuna visa juu ya miji ya Sodoma na Gomora.
Sasa kama mtu kweli kashika dini na ana imani ulimwengu huu tunapita, na endapo kipenga cha KIAMA kikipulizwa mda wowote, hata sasa kiroho safi anaingia kwenye ufalme wa Mungu. Sasa nini kuanza kukemea watu wasitende dhambi wakati wadhambi kardi wanavyokuwa wengi ndivyo KIAMA kinazidi kuwa karibu na ndivyo kuingia mbinguni kunakuwa karibu zaidi.

Kujifanya kujua kuhukumu sana pia unamkosea muumba, yaani unajiona una hekima kumzidi yeye, au unaona anafanya kazi ya hovyo. Kumbuka kwenye biblia imeandikwa Muumba anawapenda wote maadui zako na marafiki zako wote anawapatia mahitaji yao yote muhimu, anawaangazia jua na kuwapa hewa. Kristo mwenyewe aliomba msamaha kwa wale walio muua kwa sababu hawajui walitendalo. Na kristo alisema bila kufwata mwongozo wake mbinguni utakusikia kwenye bomba.
 
kuna siri gani imejificha katika masharti ya misaada tunayopewa na mataifa mbalimbali yenye nguvu kiuchumi?

Kwanini mambo mengi ya ushoga yanapotajwa tu gafla hoja ya misaada ya mabeberu inaibuka na kuwa sababu kuu ya kuenea kwa ushoga?

Misaada ni sababu pekee au kuna hoja nyingine zimejificha nyuma ya pazia?

Hili ni janga la kitaifa na linahitaji maswali mengi na majibu chanya katika jamii yetu.

Wadau naomba tuseme ukweli katika hili. Ni masharti ya misaada au mmomonyoko wa maadili?
 
Sasa IPHONE zinazotengenezwa china na Marijali can you compare Na software za mashoga software unaweza shika??
 
Tuanze kampeni ya kuwaua hao Mashoga watapungua kama kufanya Kwa uficho wa hali ya juu Sana na sio kujiachia kama yule mtangazaji.
 
Back
Top Bottom