Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Na kwa hapa JF mabasha utayapata kwenye ule uzi wa kifedhuli wa kulana kimasikhara,
Mule ndio kuna mashenzi na mafirauni yanajiweka wazi na kutamba kwa kuharibu wengine.
Sasa ulitaka wakuharibu wewe una minofu? Au unataka uwachubue tu watu na hiyo mifupa yako?
Una mk#nd# wenye nyama nyama kwanza? Tuanzie hapo
 
Nilipokuwa Africa ya Kusini, stories kuhusu LGBT zilikuwa kawaida.

Nilichokuwa najua kuhusu huku nyumbani ni kwamba hata kuongelea hicho kitu ni tabboo.

Sasa hivi watu wanaongelea sana, kwa bahati mbaya kuna watu wanaongelea sana wakidhani ndio wanaupinga, kumbe kwa kuupa airtime tu inafanyika kuwa mjadala wa kawaida.

Hawa watu wanaenda kushinda sasa kwa sababu humu mtandaoni kila siku tunawajadili. Ndio wadogo zetu sasa wataona ngoja waonje iyo kitu inayoongelewa kila siku.

Wenye hiyo michezo wanafurahi sana kwa sababu wanajua hakuba publicity mbaya.

Kilichobaki kila mtu ajichunge na achunge watoto wake na wengine wanaomhusu. awalinde kwa kila nam,na wasiingie kwa hiyo laana, ila kama Taifa naona tushachemka maana kiiila mahali ndio story.
 
Dunia kwa sasa iko katikati ya jambo hatari zaidi la kimaadili linalo hatarisha uwepo wa familia na mwendelezo wa vizazi. Vuguvugu la mahusiano yaliyo kinyume na asili (ushoga, ubasha, usagaji) limekuwa likishika kasi duniani huku likisukumwa na upepo wa mataifa ya magharibi chini ya mwamvuli wa haki za binadamu na uhuru wa mtu binafsi katika kujiamulia maisha yake katika kufurahi pasipo kuingiliwa faragha yake. Kwa nguvu, pesa, akili na mbinu mbalimbali wahusika wa vitendo hivyo duniani wanafanya jitihada kubwa kuvieneza huku wakivipandikiza kupitia mitandao, vitabu, majarida, sheria, serikali, dini, shule, vyuo, michezo, burudani, mitindo nk.

Kwa hapa Tanzania hali imeanza kumea kama magugu shambani, na kila mara watu wanaojitokeza hadharani kwa nguvu kulikemea au kulipinga hilo jambo ghafla hapo hapo kuna watu wengine wanaibuka kuwapinga kwa hoja kuwa kulikemea vikali hilo suala ni kulikuza au sio suala muhimu kujadiliwa au hayo ni mambo binafsi ya watu hivyo hayapaswi kupigwa vita!

Napenda kuandika hapa JF, mtu yoyote anayeibuka na hoja ya kusema kuwa tukae kimya kwenye hili suala (kwa hoja ya kuogopa kulikuza au kukwepa kuingilia mambo binafsi ya watu) kuna uwezekano mkubwa sana muhusika akawa ni sehemu ya wanufaika wa mpango wa kueneza ushoga hapa Tanzania kwa kuwa hakuna sayansi inayoeleza namna ukimya utatatua tatizo la kijamii linalosukumwa na kuenezwa kimakusudi na watu wengine tena wenye kutumia akili, pesa na ujanja mwingi.

Tangu lini ukimya dhidi ya uovu unaweza kufifisha huo uovu?
Ni kwa namna gani tukikaa kimya dhidi ya ushoga, ubasha na usagaji basi automatically hivyo vitendo vitatoweka kwenye jamii?

Dawa ya kwanza ya kupambana na ushoga, ubasha na usagaji ni kuukemea hadharani kwa ujasiri wote, kwa nguvu zote tena kila mara.


HAKUNA KUKAA KIMYA.
 
Naungana nawe,

Tukiwapigia kelele HAKIKA watarudi gizani KUZIMU iliko asili Yao.

Wanajitokeza sababu tumekaa kimya.

Mwakyembe naye amejitokeza kuwaumbua.

Serikali iwafukuze wafadhili USHOGA na MISAADA wanayoleta Kwa vikundi hivyo viovu.
 
Mashoga Mapumbavu sana, eti ukikemea upuuzi huu kwenye media wanadai unalipigia kampeni kimatangazo ila inshu zingine zikivuma hapa ni sawa kupata suluhisho, kama siyo double standards hizi ni nini sasa?

KATAA USHOGA.

USHOGA NI LAANA.

USHOGA NI USHETANI.

USHOGA NI AIBU HATA WANYAMA HAWAFANYI.
 
Tukiwaambia Mwakyembe alikuwa anajua anachoongea, wengine wavivu kufikiri mnampinga na siasa maji taka.

Sikilizeni ushahidi mwingine huu halafu connect dots mwenyewe.

 
Back
Top Bottom