Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Haya tukomee hapo.
Mi nabaki na langu, uchawi/ushirikina una madhara makubwa sana kwa taifa letu.
Dawa ni kutokomeza UJINGA hata haya mambo yanayoitwa uchawi na ushirikina yataisha yenyewe na hutayasikia zaidi ya kubakia hadhithi tuu. Mambo yote yanayofikiriwa na kusemwa kuwa ni uchawi ni matokeo ya UJINGA na kukosa elimu miongoni mwa jamii zetu hasa elimu ya sayansi ya afya nk. Kadiri UJINGA unavyopungua ndivyo haya mambo ya imani za uchawi na kurogwa na ushirikina nayo yanapotea, imebakia upigaji tu kwa hawa wanaojiita walozi waganga wa kienyeji na hawa wanaojiita manabii na mitume.
 
Mshana huwa nakuheshimu sana ila leo umeingia chaka na umeandika makala inayopotosha jamii.

Kuhusisha mazoezi ya mwili na ushoga unakosea sana.

Hawa vijana wenye miili ilioumuka kwanza hata hawashindi qym kama unavyodhani. Nitakutoa tongotongo kuhusu hilo sababu mimi ni trainer wa haya mazoezi pamoja na yoga.

Kuna vitu kama dawa hv au poda ambazo huwa na mchanganyiko wa protein na homoni za kiume hawa vijana wanakunywa ili kukuza misuli, wakinywa hapo yeye atanyanyua chuma kdg tu ila mwili wake unajibu fasta na kuumuka wanavyotaka. Hawa wengi hawana nguvu na persistence kama mtu anavyoweza kudhan. Kwa mfani wengi utakuta wanalinda bars usiku na hawawezi chukua malindo nje ya bar au kumbi za starehe sababu wanajua uwezo wao ni mdg sana.

Lkn mwili wa binadam una balance mambo, kila binadamu ana kiasi fln cha homoni za kiume na za kike aidha awe mwanaume au mwanamke. Sasa hawa vijana wakijiongezea homon za kiume mwili unabalance mambo kwa kugenerate homoni za kike na hapo ndipo tatizo linapoanzia. Siku akishikwa tako tu atasisimuka na baadae maafa zaidi yanaweza kutokea.

Nitafungua uzi siku moja kuongelea hili swala in deep, lkn naomba uache kupotosha jamii, ni bora useme mabaunsa wanaitumia dawa ndio wana hatari ya kufikwa na ushoga kuliko kusema mazoezi ndo yatamfanya mtu kuwa hivyo
Asante kwa kuja na kulitolea hili ufafanuzi lakini mimi sio wa kwanza kuandika hizi tuhuma kuna post nyingi sana za,wengine na si za karibuni..kuna moja ni ya 2013
Nitashukuru mno ukija na post kamili.. BTW usiichukulie mada yangu negatively kwakuwa bila hii usingejitokeza na kutaka kutoa ufafanusi ambao unaweza ukawa maarifa kwa wengi .. Mimi pia ni mdau wa mazoezi lakini kamwe situmii supliments maana zina madhara mengi

Hii ni mada ya 2013

Post in thread 'Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..' Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..
 
Hahaha[emoji23]
Hizi habari ni hatari kaka zisikie tu,Kuna jamaa ana ndugu US hua anamletea sana vifaa vya kielectronics mfano simu, katika kufahamiana nikamuomba aniuzie simu ambayo aliokua anatumia,akakubali,
Sasa akasahau kufuta akaunti zake za facebook,Messenger,tiktok,Insta, google akaunti,alichofanya yeye ni kulog out kwenye akaunti zake,akasahau kwamba google hua inasave passwords,

Sasa wkt nataka kulogin kwenye akaunti zangu nikakuta google imeshaweka username na password nikalogin, nilichokutana nacho humo kwenye msg ni hatari.Lets pray for the nation
 
Kwa namna tatizo la ushoga lilivyokaa kwenye jamii yetu na namna mabeberu walivyojipanga ni wazi tumekumbuka shuka wakati kumeshakucha.......

Sasa hivi hatuna Cha kufanya isipokuwa kila mtu kuyachunga makalio yake na ya wapendwa wako......hali ni mbaya na vita ni vikubwa......
 
Asante kwa kuja na kulitolea hili ufafanuzi lakini mimi sio wa kwanza kuandika hizi tuhuma kuna post nyingi sana za,wengine na si za karibuni..kuna moja ni ya 2013
Nitashukuru mno ukija na post kamili.. BTW usiichukulie mada yangu negatively kwakuwa bila hii usingejitokeza na kutaka kutoa ufafanusi ambao unaweza ukawa maarifa kwa wengi .. Mimi pia ni mdau wa mazoezi lakini kamwe situmii supliments maana zina madhara mengi

Hii ni mada ya 2013

Post in thread 'Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..' Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..
Jambo kuongelewa toka 2013 haimaanishi lina ukweli, na nmeisoma hio mada alioileta kasema hicho hicho nilichozungumzia hapo juu kwamba hawa wanaolinda bars na club ndio wahanga, ni wahanga sababu nmeelezea hapo juu kwamba wanaongoza kwa kutumia hizi dawa.

Na siku zote mtu akija gym kama anajielewa basi anakua na target, baadhi wanaenda kujaza mwili wengine wanaenda kukomaza mwili na akili. Vyuma havikuzi misuli tu, vinaongeza persistence, endurance, na kukufanya kubalance maisha hasa kwa wanaofanya less energy demanding jobs. Sasa unaposemea wabeba vyuma wanakua mashoga basi kuna watu unawakosea sana

Em jaribu kufuatilia watu kama David Goggins, kabla hajaanza mazoezi alikua na manyama nyama mengi sana kwa kibongo ungemuita baunsa. Lkn kaenda jeshini (NAVY SEAL) mazoezi ya huko yamemkondesha lkn ndio anasema nguvu zimeongezeka. Angalia watu kama bruce-lee pia.

Wanaoenda Gym kisa kukuza miili ndio wanakua na kishawishi zaidi cha kutumia hizo dawa, na ndio maana baadhi wanakua kwenye hatari ya ushoga sababu ya hormonal imbalance inayosababisha na hayo madawa. Lkn kwa anaeenda gym ili kuwa fit basi huo upuuzi ngumu sana kumuhusu
 
Hizi habari ni hatari kaka zisikie tu,Kuna jamaa ana ndugu US hua anamletea sana vifaa vya kielectronics mfano simu, katika kufahamiana nikamuomba aniuzie simu ambayo aliokua anatumia,akakubali,
Sasa akasahau kufuta akaunti zake za facebook,Messenger,tiktok,Insta, google akaunti,alichofanya yeye ni kulog out kwenye akaunti zake,akasahau kwamba google hua inasave passwords,

Sasa wkt nataka kulogin kwenye akaunti zangu nikakuta google imeshaweka username na password nikalogin, nilichokutana nacho humo kwenye msg ni hatari.Lets pray for the nation
hatari.Lets pray for the nation[emoji1545][emoji1752]
 
Mtiririko wa mada zako ni huu una promote sana bro
Ok lakini umeshindwa kuweka walau post 3 au 4?
Na hapa nimejaribu kupitia tena uzi wangu sijaona popote nilipofanya promotion ya ushoga na ningefanya hivyo hii mada isingekuwa hewani mpaka sasa
 
MNIUEE TU, NGOJENI NIWAPE ISHARA ZAO MASHOGA ZA KUJITAMBULISHA:-
Sikuhiz ukiona baunsa kaa makini wengi ni mshoga... Ukiona wanaume wanaopenda kufuga ndevu nyingi wanapaka hadi mafuta kaa makini wengi ni mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa vikaptula ujue wengi ni mshoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa visuruali vinabana vifupi ujue wengi wao mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa nguo t-shirt au shati za kumeremeta ujue ni mashoga... Ukiona mwanaume anapenda kuvaa visendoz na soksi za rangi rangi ujue mashoga... Ukiona mwanaume anaambatana sana na wanawake uje ni shoga... MWISHO SI KWA UMUHIM UKIONA MWANAUME ANASEMA USHOGA UNAKUZWA TU UJUE NI SHOGA HILO...
 
Jambo kuongelewa toka 2013 haimaanishi lina ukweli, na nmeisoma hio mada alioileta kasema hicho hicho nilichozungumzia hapo juu kwamba hawa wanaolinda bars na club ndio wahanga, ni wahanga sababu nmeelezea hapo juu kwamba wanaongoza kwa kutumia hizi dawa.

Na siku zote mtu akija gym kama anajielewa basi anakua na target, baadhi wanaenda kujaza mwili wengine wanaenda kukomaza mwili na akili. Vyuma havikuzi misuli tu, vinaongeza persistence, endurance, na kukufanya kubalance maisha hasa kwa wanaofanya less energy demanding jobs. Sasa unaposemea wabeba vyuma wanakua mashoga basi kuna watu unawakosea sana

Em jaribu kufuatilia watu kama David Goggins, kabla hajaanza mazoezi alikua na manyama nyama mengi sana kwa kibongo ungemuita baunsa. Lkn kaenda jeshini (NAVY SEAL) mazoezi ya huko yamemkondesha lkn ndio anasema nguvu zimeongezeka. Angalia watu kama bruce-lee pia.

Wanaoenda Gym kisa kukuza miili ndio wanakua na kishawishi zaidi cha kutumia hizo dawa, na ndio maana baadhi wanakua kwenye hatari ya ushoga sababu ya hormonal imbalance inayosababisha na hayo madawa. Lkn kwa anaeenda gym ili kuwa fit basi huo upuuzi ngumu sana kumuhusu
Basi kali linux kwa post yako hii naomba nichukue nafasi hii kuomba radhi wale wote wanaokwenda gym kwa nia njema ya kuimarisha afya ya akili na mwili na nitamke wazi kwamba mada yangu kwa hali yoyote ile haiwahusu bali ni wale waliotajwa kwenye ripoti ya Mwakyembrle na wengine wote wenye tabia hizo.. Pokea apology yangu kwa niaba[emoji1545][emoji1752]
 
Shukran mkuu.
 
Back
Top Bottom