cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana makasiriko kwa kuachwaaa na bwana zao, JF bhanaa lol.Khee! Huyo kigagula nae katokea wapi?
Sema watu kama hao dawa yao unawapotezea tu, kuwajibu ni kutoa kiki,
Ukimsoma katikati ya mistari anaonesha kabisa soko limeshuka ndio maana ana hasira nawe kigoli wetu [emoji23]