Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Habarini za humu jf,sasa hivi kumekuwa na mjadala mkubwa tu hasa katika haya mapenzi ya jinsia moja hasa wanaume kwa wanaume….Hii kitu inatia ukakasi kabisa katika jamii yetu ya kiafrica achilia mbali huko kwa wazungu ambapo akili zimechafukwa.. Naomba tafadhali nijibiwe kwa hoja bila ushabiki wala kupanick.Hivi mtu anawezaje kujihusisha na vitendo hivyo ilihali akijua ni kinyume cha sheria na pili jamii inaweza kumuona ni mtu wa ajabu,huo ujasiri anaupata wapi? Au kuna kitu gani cha ziada katika anal sex maana hata watu na wake zao hufumuana hiyo anal sex,ebu wajuzi watuambie kuna jipya gani huko katika hayo mambo ya simu 2 aka tigo?

Nawasilisha
 
Mods huu uzi wangu Usiku gani sher
 
Malezi, Tamaa, watu kukosa hofu ya Mungu. Kingine akili nyingi uondoa maarifa... watu wanaona ni ujanja kama vijana wakileo kulewa n.k kuwa ni ujanja. Kizazi cha ujuaji
 
Kila siku anakuja na kisa kipya, baada ya kumwagiwa tindikali alisema alikua ana ugomvi wa kawaida na jirani yake na anahisi ndo kamfanyia hivo, wajanja tukakataa hii nadharia, mtu mpaka asuke mipango ya kukumwagia tindikali haiwezi tu kua eti mmepishana kauli, big NO!!!

Mtu mpaka aitafute tindikali aipate afanye mipango ya kukushambulia lazima Kuna kitu kikubwa Sana baina yenu (pesa au mapenzi nadhani ndo driving factor kubwa sana)

Sasa kaja tena na mambo ya ushoga, kwa io shoga kamtongoza kamkataa akaenda to the extent ya mpaka kummwagia tindikali, doesn't make sense at all

Hajabadili kitu, kasema ugomvi ulianza baada ya kumkataa shoga huyo na kumtangaza!!
somehow it bring more sense…
 
Yaani pamoja na wanawake wote hawa wazuri kuanzia maumbo,sura zao na vingi mwenyezi Mungu alivyo wajalia yaani tukiwaona yaani tunapata amani na misisimko ya miili yetu kama wanaume. Alafu pamoja na yote hayo kuna mtoto wa mtu anaamua kuwa shoga .....huyu sio mtoto ni mbuzi wa mtu anaamua kuwa shoga.

Na hivi ukiangalia picha hiyo hapo chini unapata wapi nguvu za kutamani matako ya wanaume wenzio....?

Ukicheki tena picha hiyo chini kuna haja ya kuniuliza kwa nini nachiti......? Wake kuweni serious bana.

NB
Kuwa mwanaume rijali kazi maana ukilegea kidogo tu utazawadiwa watoto kijiji kizima...ukiponapona utazawadiwa magonjwa uchomwe masindano hadi matako yawe kama chujio....ukinusurika vyote basi ndoto za kuwa bilionea ndio zinaishia hapo [emoji16][emoji16][emoji16] jamani kuwa mwanaume rijali ni zaidi ya kwenda leba.
20230407_090042.jpg
 
Kwa bahati mbaya hao unaowasifu hapo wana safari ndefu ya kurudi kuwa wanaadamu.
 
moshi nako hali ni mbaya inaonekana,japo ukipita apo unaona ni mji uliotulia kabisa
 
Back
Top Bottom