Ajenda ya duniaThreads za ushoga zimezidi chaaaaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajenda ya duniaThreads za ushoga zimezidi chaaaaaa!!!
Usishangae sana maana wapo wanadindisha kwa mbuzi... Kuku.. Mbwa..hapo huwa nashangaa mwanaume anawezaje kumdindishia mwanaume mwenzake wakati hana hivyo vitu?
Habarini za humu jf,sasa hivi kumekuwa na mjadala mkubwa tu hasa katika haya mapenzi ya jinsia moja hasa wanaume kwa wanaume….Hii kitu inatia ukakasi kabisa katika jamii yetu ya kiafrica achilia mbali huko kwa wazungu ambapo akili zimechafukwa.. Naomba tafadhali nijibiwe kwa hoja bila ushabiki wala kupanick.Hivi mtu anawezaje kujihusisha na vitendo hivyo ilihali akijua ni kinyume cha sheria na pili jamii inaweza kumuona ni mtu wa ajabu,huo ujasiri anaupata wapi? Au kuna kitu gani cha ziada katika anal sex maana hata watu na wake zao hufumuana hiyo anal sex,ebu wajuzi watuambie kuna jipya gani huko katika hayo mambo ya simu 2 aka tigo?
Nawasilisha
NdioUna uhakika mkuu?[emoji848]
Malezi, Tamaa, watu kukosa hofu ya Mungu. Kingine akili nyingi uondoa maarifa... watu wanaona ni ujanja kama vijana wakileo kulewa n.k kuwa ni ujanja. Kizazi cha ujuajiHabarini za humu jf,sasa hivi kumekuwa na mjadala mkubwa tu hasa katika haya mapenzi ya jinsia moja hasa wanaume kwa wanaume….Hii kitu inatia ukakasi kabisa katika jamii yetu ya kiafrica achilia mbali huko kwa wazungu ambapo akili zimechafukwa.. Naomba tafadhali nijibiwe kwa hoja bila ushabiki wala kupanick.Hivi mtu anawezaje kujihusisha na vitendo hivyo ilihali akijua ni kinyume cha sheria na pili jamii inaweza kumuona ni mtu wa ajabu,huo ujasiri anaupata wapi? Au kuna kitu gani cha ziada katika anal sex maana hata watu na wake zao hufumuana hiyo anal sex,ebu wajuzi watuambie kuna jipya gani huko katika hayo mambo ya simu 2 aka tigo?
Nawasilisha
Inasemekana huyo mwamba alikua anakula mke wa mtu, hizo habari za ushoga ni kivuli tu.[emoji41]
Kila siku anakuja na kisa kipya, baada ya kumwagiwa tindikali alisema alikua ana ugomvi wa kawaida na jirani yake na anahisi ndo kamfanyia hivo, wajanja tukakataa hii nadharia, mtu mpaka asuke mipango ya kukumwagia tindikali haiwezi tu kua eti mmepishana kauli, big NO!!!
Mtu mpaka aitafute tindikali aipate afanye mipango ya kukushambulia lazima Kuna kitu kikubwa Sana baina yenu (pesa au mapenzi nadhani ndo driving factor kubwa sana)
Sasa kaja tena na mambo ya ushoga, kwa io shoga kamtongoza kamkataa akaenda to the extent ya mpaka kummwagia tindikali, doesn't make sense at all
Ukweli anao yeye mwenyewe moyoni mwake.
Kwani kudanganya kuna alama?We unahisi atakua anadanganya??? media zimtafute zimhoji mtuhumiwa
Hatari tupuAise
Labda ndio maana muhusika alilenga zaidi kumwaribu sura.Habari za mwanzo zilikua hivo lakini hamna hata mwenye kuthibitisha hilo…