Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Daah hii sio poa kabisa watu wangu....

Nasikia eti eti karibu 90% ya midume inayoishi SINZA ni mishoga!! daah sio poa kabisa! Na Serekali ipo tu..daah sio poa aisee!!!

Ila hujasikia nchi kutafunwa ndugu?

FtHA4BjXwAEJB4j.jpeg


Kulikoni kuhangaika na vi*yeo vya mapunga kama cha kwako kiko salama?
 
Nimesikia, lakini source ya mambo yote hayo ni ushoga!

Mishoga na mibasha imejaa maofisini....


Taifa linakosa vijana Mahodari, Majasiri, Mashupavu na Mashujaa

Kwamba mapunga yanapigwa pipe kwa sababu vinyeo ni vyao na yameamua hivyo? Sasa hiyo inatuhusu nini sisi wengine ndugu?

Kama hata wanataka wakachomeke hadi mipini ya majembe kwamba hilo ndilo furaha yao? Inatuhusu Nini sisi wengine?

Kwa nini usijikite kuwaangalia nduguzo chini ya miaka 18 kuhakikisha wanakua kwenye maadili unayoyapenda, ukaachana na hii michoko yenye hati miliki ya hivyo viungo vyao vyote?

Hudhani kuwa kupambana na hawa hapa:

Screenshot_20230408-180625.jpg


ilikuwa ni jambo la tija zaidi ndugu?
 
Kwamba mapunga yanapigwa pipe kwa sababu vinyeo ni vyao na yameamua hivyo? Sasa hiyo inatuhusu nini sisi wengine ndugu?

Kama hata wanataka wakachomeke hadi mipini ya majembe kwamba hilo ndilo furaha yao? Inatuhusu Nini sisi wengine?

Kwa nini usijikite kuwaangalia nduguzo chini ya miaka 18 kuhakikisha wanakua kwenye maadili unayoyapenda, ukaachana na hii michoko yenye hatiki miliki ya hivyo viungo vyao?

Hudhani kuwa kupambana na hawa hapa:

View attachment 2581166

ilikuwa ni jambo la tija zaidi?
Umeongea kimwili sana Ndugu. Hii issue ni ya kiroho. Roho ya USHOGA inazidi kusambaa sana TZ kutokea hapo SINZA. Lazima hili suala tulikemee kila kukicha...

Roho chafu huwa hazipendi kukemewa au kuambiwa ambiwa jambo lilelile kila wakati kwasababu huwa zimejaa kiburi + majivuno.
 
Back
Top Bottom