Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ushoga (USENGE) ni kitendo Cha kuingiliwa ama kumuingilia binadamu/mtu kinyume na maumbile.
Shoga ni mshiriki wa Hilo tendo eitha anaingiliwa au ana muingilia mwenzake kinyume na maumbile hiyo kwa jinsia ya kiume.

Naposema jamii inapenda "ushoga" Nina maanisha ndani ya jamii yetu Kuna wanaume tunaishi nao na michezo yao ndiyo hiyo kuwaingilia/kula kichuri/kufukua tope / wanaume wenzao hiyo ndiyo maana halisi ya jamii kupenda ushoga.

Kwa Nini nasema jamii inatetea mashoga?? Naam hapa nitatoa simulizi moja maridhawa.

Kuna kipindi Fulani mtoto wa anko wangu alikuwa anaolewa katika hiyo sherehe walikuja mashoga Kama watatu walivalia Madera ulipofika muda wa kutunza na wao wakifika waliomba wawekew nyimbo ya taarabu aise walichokifanya pale ni aibu sana wanazungusha viuno Kama wanawakw, watu walijaa nakuwapigia makofi na vigelegele.

Mimi na rafiki yangu tuliamua kuingilia Kati kwenda kuzima mziki, nilishika myk nikatangaza kuwa "sitaki kuwaona hawa mashoga kwani haileti tafsiri nzuri katika jamii"

Uliibuka mzozo mkubwa sana kwani kundi kubwa la watu lilifurahia sana lilitaka wale mashoga burudani iendelee.

Kiufupi wale mashoga waliletwa kutoka huko buguruni ndani ndani na Wala siyo wenyeji wa pale lakini jamii/kundi la watu liliwatetea sana, Mimi na rafiki yangu tulikaza msuli pale.

Mara zikaibuka stori kuwa tumekuja kuvuruga sherehe ya dada yangu/mtoto wa anko, alikuja mwenyekiti wa serikali za mitaa tukazozana nae aliamua kupiga simu polisi kuwa sisi tumakuja kuvuruga amani kwenye mtaa wake, ndipo Mimi na rafiki yangu tuliamua kutoweka eneo hilo/ kwenye sherehe hiyo kwa kuhofia kubambikiwa kesi zisizo na mashiko.

Sasa kwa picha hiyo ni dhahiri jamii inatetea mashoga waendelee kufanya upumbavu wao, hata kwenye show za wasanii wakubwa huwa wanapandisha mashoga na mashabiki wanapiga kelele kuonyesha wanafurahia kitendo hicho Cha mashoga kumwaga radhi mbele yao.

My take, ushoga ni ngumu kuisha Ila utaendelea kukua kwa kasi maana jamii, inapenda ushoga nakutetea ushoga hatupaswi kupiga kelele kwa serikali wakati sisi huku chini tunaufurahia ushoga.
 
Habari wana jukwaa
Nimepita kwenye site hii nikakutana na mjadala kuhusu simu za IPHONE kuwa inasababisha ushoga kutokana na elements zilizomo.

Inawezekana ikawa kweli lakini sio tu IPHONE bali ni vitu mbalimbali.

Nilipita pita katika page mbalimbali nikisoma na kufualia swala hili la ushoga ni kwamba hata vinywaji mbali mbali ambavyo ni carbonated soft drinks pia vinachangia hali hiyo ,pia kupitia movies mbali mbali za HOLLYWOOD ,vipindi vya television ,music,pornography site, nk.

Lakini ukifuatilia utakuta kuna baadhi ya mashirika ya umoja wa mataifa wanasapoti hiyo hali katika jamii tofauti tofauti ikiwa ni barani ulaya au kwingineko.

Hii inafanya baadhi ya watu fulani ikiwa ni celebrates yaani watu MASHUGHULI duniani kushawiishiwa kufanya hivyo kwa ujira maalumu ili kufikisha ujumbe au kuifundisha jamii fulani kufanya matendo ya kishoga.

Lakini pia kuna wanaharakati wa mashirika hayo hayo kupinga na kutoa siri zilizojificha katika vitu mbali mbali ikiwa ni kutoa WARNING kwa matumizi ya vitu au vinywaji fulani.

Lakini hao wote ni watu wa mashirika hayo hayo huku wengine wakisema ni HUMAN RIGHTS yaani haki za kibiinadam kwamba wanastahili kuamua kuchagua jinsi ya kuishi watajavyo na wana maamuzi katika maisha yao na hii ikapelekea kuwekwa kwa kanuni na sheria mbali mbali ili kuweza kurusu manbo hayo kwa njia mbali mbali.....ITAENDELEA...
 
Nikiwaambia hao waarabu (Islamic) ni wanafiki hamuamini sasa ona nchi zao wamepitisha ushoga halafu juzi wanaandamana huko kilimanjaro
1. Nchi gani ya kiarabu imepitisha ushoga?

2. Umeandika nchi za Kiarabu na kwenye mabano umeweka "Islamic"!!! Ujue kutofautisha kati ya nchi za kiisilam na nchi za Kiarabu, kwa sababu si kila nchi ya kiarabu ni ya Kiislam, kama ambavyo si kila muarabu ni Muislam, wengine ni Wakristo.

3. Umeweka kama vile waarabu wote wanatoka nchi moja, hapana, nchi za kiarabu zipo tofauti kama zilivyo nchi za kiafrika, hivyo, huwezi kusema kama kitu kimepitishwa na nchi moja ya kiafrika basi waafrika wote wanahusika.

4. Itapendeza kama ukitoa taarifa usitoe kiujumla, usiseme nchi za kiarabu, ila taja nchi kwa jina lake, kama ambavyo huwezi kutaja nchi za kiafrika kwa ujumla kwa sababu zote zina sera na misimamo tofauti.
 
Na humu JF wafuasi wa NATO/US ndio wana-support hayo mambo balaa.
Wala haipo kihivyo, huko Marekani na Ulaya kuna wapinzani wengi sana wa LGBTQ, kwa hiyo si suala la NATO na US, ni tabia. Kuna watu wanajificha kwenye hicho kichaka, hasa Waarabu. Wao hawafungi ndoa, ila ni wafanyaji wa hayo mambo kwa wingi
 
Mmmh! Kuna jamaa wanaitwa Btoo Allami na Nayyef Hrebid, walikutana jeshini vitani kwenye jeshi la Iraki, wakapendana, lakini hawakuweza kuishi Iraki, maana wangeuliwa, wakakimbilia Marekani na hadi sasa wanaishi Marekani na story yao imetengenezewa hadi muvi, inaitwa the Language of War.
 
Ndio maana nikakwambia walichofanya NATO/US ni uhuru tu, lakini tabia zipo sana kwa jamii nyingi. Kuna jamii ambazo sheria za nchi zao ni kali, kwa hiyo either wanafanya kwa siri sana au ndio kama hao, wanalazimika kukimbilia sehemu salama kwao
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
 
Nimeanzisha mada ya jinsi gari langu linavyokunywa mafuta…sijapata comment hata moja ila kwenye hii mada ya ushoga comments zinamiminikatu….Wabongo tuache unafiki tupitusge tu huo ushoga maana ni jambo ambalo weng wanalipenda na kulifurahia,laiti kama mngekuwa hamlipendi kusingekuwa na comments zote hizi
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya
Wewe ni shoga na una andika hapa ku promote ushoga.

Ukiona unatakwa na watu wewe ni shoga

Mods fungu huu uzi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Huna lolote, fala wewe, issue ya mashoga mnaikuza sana na ni ujinga, hawa mashoga pia ni watu wenye akili zao, wakutafute wewe nani?
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio[emoji2961]
unampa namba yako mtu ambaye humfahamu au mlizungumza dili za kibiashara?
 
Umeandika nchi za Kiarabu na kwenye mabano umeweka "Islamic"!!! Ujue kutofautisha kati ya nchi za kiisilam na nchi za Kiarabu, kwa sababu si kila nchi ya kiarabu ni ya Kiislam, kama ambavyo si kila muarabu ni Muislam, wengine ni Wakristo.
Nikweli mkuu watu waelewe kwamba uarabu sio uislam na uzungu sio ukristo.
Watu wasikariri
 
Mmmh! Kuna jamaa wanaitwa Btoo Allami na Nayyef Hrebid, walikutana jeshini vitani kwenye jeshi la Iraki, wakapendana, lakini hawakuweza kuishi Iraki, maana wangeuliwa, wakakimbilia Marekani na hadi sasa wanaishi Marekani na story yao imetengenezewa hadi muvi, inaitwa the Language of War.
" Wakapendana" ? Hii dunia bwana.🚮
 
Back
Top Bottom