Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna wapumbavu humu hawakuelewi ila siku wakikumbana na hali hii watakumnuka sana haya maandishi.

Kipindi cha magufuli ilikuwa ni kawaida ukitofautiana na serikali unakamatwa unawekwa ndani kwa kisingizio kwamba wanakupima kama ulishawahi au unatumia madawa ya kulevya.... Tuliona kina Mh mbowe, manji, wema sepetu nk wakiwekwa mahabusu kwa huku wskisubiria kupimwa kama wanatumia madawa hayo ya kulevya.

Sasa bora wakati huo! Chukulia sasa wewe ni fulani uko na familia yako sebuleni hujui hili wala lile ila ghafla tu unasikia kwenye runinga kwamba unahitajika ukapimwe kama wewe ni shoga au pengine umeshawekwa mahabusu ila taarifa zinafika kwa familia yako kwamba upo chini ya ulinzi na unahitajika ukapimwe.

Kuna namna ya kuwakamata mashoga maana wanatambulika kwenye jamii ila sio hii ya kumhisi mtu tu na kwenda kuchomeka vidole kwenye chemba ya choo! Huu ni udhalilishaji kwa wale watakaokuwa wamehisiwa

Viongozi wa serikali wa sasa wasipotafakari kwa makini watakuja wawe wahanga wa huu udhalilishaji maana tumezoea kuna tabia ya kudhalilishana na kukomoana kila awamu inapobadilika.

Tafakari
Kuna siku mtu ataamua akuaibishe na akakupima mkund..u na ikatangazwa mtandaoni
 
Labda nithibitishe kwanza, mimi napendelea sana maamuzi yanayofuata sheria ambazo zimewekwa - rules based orders.

Nimesikia kuna hawa wanamitindo wamewekwa kizuizini na mahakama kuamuru wakapimwe kama ni mashoga.

Sina ubaya na hilo kwasababu na mimi sisupport vitendo vya ushoga. Ila ambacho ningependa kujua ni kuhusu hayo mamlaka na nguvu ya mahakama kwenye vifungu vya sheria kuamua mtu apimwe kama yeye ni shoga pasipo idhini yake.

Nimeuliza hivo kwasababu, tusipokuwa makini, hii kitu inaweza kutumika kufanya defamation na character assassination.

Imagine leo hii mtu unafanya kazi ya maana na unakutana na watu wengi, unaheshimika na ukoo wako, halafu from no where unasikia kwamba umewekwa lock up kwamba ukapimwe kama wewe ni shoga. Halafu inagundulika kwamba sio kweli. Unadhani utachafuka kiasi gani?

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili. Kwa wanasheria Pascal Mayalla na wengineo embu tunaomba ufafanuzi kwenye hili.

Mi sio mwanasheria ila, nina guts feeling kwamba kuna kitu cha kisheria hakijakaa sawa hapa.
Duh...!
 
Kuna wapumbavu humu hawakuelewi ila siku wakikumbana na hali hii watakumnuka sana haya maandishi.

Kipindi cha magufuli ilikuwa ni kawaida ukitofautiana na serikali unakamatwa unawekwa ndani kwa kisingizio kwamba wanakupima kama ulishawahi au unatumia madawa ya kulevya.... Tuliona kina Mh mbowe, manji, wema sepetu nk wakiwekwa mahabusu kwa huku wskisubiria kupimwa kama wanatumia madawa hayo ya kulevya.

Sasa bora wakati huo! Chukulia sasa wewe ni fulani uko na familia yako sebuleni hujui hili wala lile ila ghafla tu unasikia kwenye runinga kwamba unahitajika ukapimwe kama wewe ni shoga au pengine umeshawekwa mahabusu ila taarifa zinafika kwa familia yako kwamba upo chini ya ulinzi na unahitajika ukapimwe.

Kuna namna ya kuwakamata mashoga maana wanatambulika kwenye jamii ila sio hii ya kumhisi mtu tu na kwenda kuchomeka vidole kwenye chemba ya choo! Huu ni udhalilishaji kwa wale watakaokuwa wamehisiwa

Viongozi wa serikali wa sasa wasipotafakari kwa makini watakuja wawe wahanga wa huu udhalilishaji maana tumezoea kuna tabia ya kudhalilishana na kukomoana kila awamu inapobadilika.

Tafakari
Ndio tunachokataa na kupinga hizi order zinatolewa kimakosaaa, suala la ushoga ni kukutwa red handed na kufanya uthibitishoo km ni kweliii iko hivyoo.

Hili la kutolewa order kiholelaa halifai na linapaswaa kukemewa wazi wazi.
 
Kuna wapumbavu humu hawakuelewi ila siku wakikumbana na hali hii watakumnuka sana haya maandishi.

Kipindi cha magufuli ilikuwa ni kawaida ukitofautiana na serikali unakamatwa unawekwa ndani kwa kisingizio kwamba wanakupima kama ulishawahi au unatumia madawa ya kulevya.... Tuliona kina Mh mbowe, manji, wema sepetu nk wakiwekwa mahabusu kwa huku wskisubiria kupimwa kama wanatumia madawa hayo ya kulevya.

Sasa bora wakati huo! Chukulia sasa wewe ni fulani uko na familia yako sebuleni hujui hili wala lile ila ghafla tu unasikia kwenye runinga kwamba unahitajika ukapimwe kama wewe ni shoga au pengine umeshawekwa mahabusu ila taarifa zinafika kwa familia yako kwamba upo chini ya ulinzi na unahitajika ukapimwe.

Kuna namna ya kuwakamata mashoga maana wanatambulika kwenye jamii ila sio hii ya kumhisi mtu tu na kwenda kuchomeka vidole kwenye chemba ya choo! Huu ni udhalilishaji kwa wale watakaokuwa wamehisiwa

Viongozi wa serikali wa sasa wasipotafakari kwa makini watakuja wawe wahanga wa huu udhalilishaji maana tumezoea kuna tabia ya kudhalilishana na kukomoana kila awamu inapobadilika.

Tafakari
Mkuu wewe ndo tumeelewana, nadhani huku watu wanajibu kwa mihemko tu.. mpaka sasa hakuna aliyekuja na kifungu cha sheria hata kimoja.

Wanachoshindwa kuelewa watu ni kwamba, jamii iliyostaarabika inatakiwa kufanya mambo kwa kufuata sheria zilizopo.

Inaonekana hakuna sheria kama hiyo, ya kumuamuru mtu akaingiziwe vidole ili kujua kama yeye ni shoga, na mi nadhani hii case itakuwa haina mashiko na hawa watu naona wataachiwa huru.

Serikali wakidhamiria kweli kupambana na ushoga, waweke sheria bungeni na wazipitishe, ila sio kufanya mambo kiholela kiasi hiki na kukurupuka
 
Mkuu
Mahakama ndiyo chombo pekee chenye kutoa amri za kisheria.

Labda katika ile hati ya amri ya mahakama ya kuwapima uimara wa marinda watuhumiwa waliofikishwa mbele yake hawwkuweka vifungu kubackup ile agizo. Lakini kisheria Mahakama ina uwezo wa kuamuru upimwe bila ridhaa yako.

Watakuja wenye vifungu hapa lakini nadhani tuangalie kwa kina, kwa nini mabasha hawaguswi? Je wanatambuliwaje bila kukutwa kwenye tukio?

Sheria ina vikona kona vingi vinavyohitaji Mahakama kuvitafsiri.
Tu deal na hao wanaochokonolewa tu. Mbona hata kwenye ubakaji anafungwa mwanaume tu na watu wanaona sawa? Saa nyingine mwanafunzi anakubali mwenyewe ila akishaliwa anayekula 30 ni mwanaume tu. Najua kuna sababu zake, basi na kwa mashoga sababu ni kupoteza marinda
 
Wewe ni shoga?

Sisi tutakukamata tutakuingizia vidole viwili ukiwa umeinama vikipita ni nyundo 30

Acha ushoga
Uhuni wenu wa kipropaganda umefika mwisho.

Mwenzenu museven kashatepeta kaifuta sheria yake ya kihuni leo hii.

Na tutaendelea kupaza sauti mpaka mbinywe mambupu mpigwe vikwazo mnyooke.

Tutaanza mahakamani, kisha tutapanda juu ku-file official complaints kwenye mamlaka zinazohusika na kushughulika na MADIKTETA.
 
NImeuliza vifungu vya sheria iliyotumika, wewe unakuja na story zako kwamba na support ushoga... wewe nahisi kuna fuse imekatika kichwani....
Hilo ni chizi limo humu ku divert mjadala wa CAG.

Katumwa kueneza na kuchochea mijadala ya ushoga.
 
Kwanini ukatae kupimwa hali ya kuwa unajijua 100% wewe sio shoga ?

Sababu yako ya kukataa inaweza kuwa ni nini mkuu ?

Hata hivyo hio njia ya upimaji ya kupitisha vidole una uhakika ndio njia inayotumika kubaini mashoga huk wanakopelekwa (hospital) ?.

What if kuna njia nzuri tu ya kutambua Mwanaume/Mwanamke anaeingilia kinyume. Hapo pia bado patakua panahitaji idhini yako ?
Wewe unaweza ukaruhusu KUINGIZIWA MADOLE MKUNDUNI?
 
Mkuu wewe ndo tumeelewana, nadhani huku watu wanajibu kwa mihemko tu.. mpaka sasa hakuna aliyekuja na kifungu cha sheria hata kimoja.

Wanachoshindwa kuelewa watu ni kwamba, jamii iliyostaarabika inatakiwa kufanya mambo kwa kufuata sheria zilizopo.

Inaonekana hakuna sheria kama hiyo, ya kumuamuru mtu akaingiziwe vidole ili kujua kama yeye ni shoga, na mi nadhani hii case itakuwa haina mashiko na hawa watu naona wataachiwa huru.

Serikali wakidhamiria kweli kupambana na ushoga, waweke sheria bungeni na wazipitishe, ila sio kufanya mambo kiholela kiasi hiki na kukurupuka
Sisi tunaweka comments zetu kama kumbukumbu ili siku yakiwakuta tuwaanbie mbona tuliwaambia?
 
Wewe ni shoga?

Sisi tutakukamata tutakuingizia vidole viwili ukiwa umeinama vikipita ni nyundo 30

Acha ushoga
Nyie vijana msiokuwa na elimu ndo maadui wa hili taifa... We unadhani ushoga utaondoka kwa matusi an mihemko..

Ushoga utaondolewa kwa serikali kuweka sheria kali na bunge kuzipitisha, ila sio kwa hizi drama za majaji wanaotafuta umaarufu
 
Tufanye hicho kifungu hakipo na wanaliwa kweli unataka kusemaje?
 
Back
Top Bottom