Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Na utu wako kwenye jamii? Utadeal vipi na kinyaa cha kuhusishwa na kupimwa kinyeo chako? Utasimama vp kwa wanaokuamini kuwaeleza kwanini ulihisiwa wewe ni shoga?

Binafsi naona Pawepo na sheria inayoidhinisha vigezo vitakavyotumika kuhitajika kupimwa, otherwise hili jambo likitumika vibaya kuna watu wataumizwa. Usishtuke ukikutana na:

"Mahakama yaamuru marinda ya kiongozi wa upinzani........yapimwe"
Miaka 8 nyuma hii singo ingekuwa imegundulika wapinzani wote wangetiwa vidole na sijui wangepata wapi nuru ya kurudi kwa wanachama wao tena. Kwa dhati kabisa, nia ya kupambana na ushoga ni sawa ila utaratibu huu wa kuwapima watu kwa nguvu pasipo kuwepo sheria ya kuliongoza hili ni hatari sana. Kwa jinsi ilivyo sasa, kila mmoja wetu yuko kwenye hatari ya kupigwa dole!
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Jitu linataka mashoga wauwawe ukute mtoto wake au ndugu yake wa karibu ni shoga halafu hajui.
Siku akiibuliwa shoga kwenye familia zao ndo watatia akili.

Wao wenyewe ni mashoga sema tu vile kujikosha na kufanya defensive mechanism.

Hapa wanajifanya kupinga ushoga ila ukiwakagua nyuma unakuta mashimo yameachama mwaaaaaah!

Maushungi mwenyewe anapenda dyudyu, ndio maana anataka dogo dogo zile za bongo fleva.

Humu wote ni wapenda madyudyu. Wanajishongondoa tu.

Ona hii...
FB_IMG_16768734969466388.jpg
 
"Mahakama yaamuru marinda ya kiongozi wa upinzani........yapimwe"

Nashauri waanze na LISSU, maana huyu ni KINYONGA MWENYE RANGI SABINI.

Mwaka jana alituambia ushoga ni haki ya binadamu, juzi akatuambia ushoga sio haki ya binadamu.

Mara akasema Lowasa fisadi, mara tena sio fisadi.

Huyu KINYONGA WA UBELGIJI apimwe haja kubwa. NI MTATA SANA.
 
Hao Watu waliozaliwa hivyo wapo Huko kwenu tuu?
Mimi nimekaa Kilimanjaro, Morogoro, Mbeya, Iringa, Dar, Kahama, sijawahi ona Watu wa hivyo.
Wengi wanaofanya hayo Matendo ni mashoga,

Sasa hapo kwenye ushoga ndio tujue chanzo chake Kwa sababu wapo Watoto wakiume hufanyiwa vitendo cha ulawiti tangu wakiwa wadogo na kujikuta wakibeba Haiba ya kike
Kukaa maeneo mengi sio kuona yote mkuu.
Hao watu wapo kuna bro alinizidi kidato, toka sisi wadogo jamaa alikua na pigo za kike... Huyu jamaa alikua skanganga sana kwa kazi za bush ila sauti ndo ilimsaliti kabisa, anaongea tone ya kike kabisaa.
Kuna mwingine huyu akikuja kubadilika alipobalehe ila huko nyuma alikua anapenda zaidi kufanya mambo wafanyayo wanawake..

Wenye sauti za kike hawa ndo nimekutana nao wengi sana.
 
Na utu wako kwenye jamii? Utadeal vipi na kinyaa cha kuhusishwa na kupimwa kinyeo chako? Utasimama vp kwa wanaokuamini kuwaeleza kwanini ulihisiwa wewe ni shoga?

Binafsi naona Pawepo na sheria inayoidhinisha vigezo vitakavyotumika kuhitajika kupimwa, otherwise hili jambo likitumika vibaya kuna watu wataumizwa. Usishtuke ukikutana na:

"Mahakama yaamuru marinda ya kiongozi wa upinzani........yapimwe"
Ukiona unahisiwa jambo jua ni kweli
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kukaa maeneo mengi sio kuona yote mkuu.
Hao watu wapo kuna bro alinizidi kidato, toka sisi wadogo jamaa alikua na pigo za kike... Huyu jamaa alikua skanganga sana kwa kazi za bush ila sauti ndo ilimsaliti kabisa, anaongea tone ya kike kabisaa.
Kuna mwingine huyu akikuja kubadilika alipobalehe ila huko nyuma alikua anapenda zaidi kufanya mambo wafanyayo wanawake..

Wenye sauti za kike hawa ndo nimekutana nao wengi sana.
Bora umuambiee huyo anadhani kila kitu anakijua yeye pekee ake ktk Dunia hii.
 
Kukaa maeneo mengi sio kuona yote mkuu.
Hao watu wapo kuna bro alinizidi kidato, toka sisi wadogo jamaa alikua na pigo za kike... Huyu jamaa alikua skanganga sana kwa kazi za bush ila sauti ndo ilimsaliti kabisa, anaongea tone ya kike kabisaa.
Kuna mwingine huyu akikuja kubadilika alipobalehe ila huko nyuma alikua anapenda zaidi kufanya mambo wafanyayo wanawake..

Wenye sauti za kike hawa ndo nimekutana nao wengi sana.

Tofautisha Sauti ya kike na kuongea kiume Mkuu.
 
Hili ni jibu la ChatGPT [emoji116][emoji116]

Kwa kuanza, ni muhimu kusema kwamba kushiriki katika vitendo vya ushoga sio kosa la jinai na haiwezi kuwa msingi wa kuwekwa kizuizini au kupimwa bila idhini yako. Kama mfumo wa sheria unavyoamuru, mtu hawezi kushutumiwa au kutendewa vibaya kwa sababu ya mwelekeo wake wa kimapenzi.

Kwa kuongezea, kufanyiwa vipimo vya kimwili pasipo idhini yako ni uvamizi wa faragha na ni kinyume cha haki za binadamu. Kwa hivyo, ikiwa habari zinazosambazwa ni za kweli au la, haki za mtu zinapaswa kulindwa.

Kwa kuongezea, ni muhimu kukumbuka kuwa sheria zilizopo zinapaswa kuzingatiwa wakati wa kufanya uamuzi wowote, na hakuna mamlaka yoyote inayoweza kuamuru kitendo ambacho ni kinyume cha sheria. Kwa hivyo, ikiwa kuna utata juu ya sheria au mamlaka inayotumika kufanya uamuzi fulani, inapaswa kushughulikiwa kwa njia ya kisheria.

Kwa hivyo, kama ulivyosema, hatupaswi kuwa na hofu ya kufanyiwa vipimo vya kimwili pasipo idhini yetu, na tunapaswa kuendelea kuheshimu na kulinda haki za binadamu za kila mtu. Ikiwa kuna utata wowote, ni muhimu kushughulikia kwa njia ya kisheria na kufuata sheria na taratibu zilizopo.
 
Nashauri waanze na LISSU, maana huyu ni KINYONGA MWENYE RANGI SABINI.

Mwaka jana alituambia ushoga ni haki ya binadamu, juzi akatuambia ushoga sio haki ya binadamu.

Mara akasema Lowasa fisadi, mara tena sio fisadi.

Huyu KINYONGA WA UBELGIJI apimwe haja kubwa. NI MTATA SANA.
Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom