Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kuna clip nyingine alitoa kama speech hivi, kuna muda alizungumza kwamba kakimbia hatari ya kuonekana choko Tanzania...
Huenda katumia tu fursa hiyo kujipatia ukazi/ukimbizi huko Ujerumani na hata asiwe choko...
Sababu wanaomfahamu wanadai ana watoto na mume...