Kuna kisa dogo mmoja alifanyiwa hivi hivi dar
Kuna mwanangu alikua amepanga ubungo kibangu nikawa Kila jioni naenda tunakaa mtaa tunapiga gambe, mi natokea mabibo, hapo alipopanga pembeni kapanga dogo mmoja boda tulikua tumezoea kumtuma hapa na pale japokua hapigi gambe alafu alikua mdogo anatuita ma bro
Siku Moja usiku tukakuta dogo analia, kumbananisha dogo Nini shida ndo anatuambia
Kapata abiria kijana anaenda sinza, kufika abiria kaingia ndani kuchukua hela baadae anamuita dogo njoo ufate hela ndani, nyumba nzima ndani ya uzio, dogo akapaki vizuri kachoma ndani alikua anadai buku 3, kufika ndani jamaa kaweka burungutu la pesa mezani akamwambia dogo nataka unif**e nakupa laki 2 cash sa ivi....
Watu tunasikilizia hapo, dogo akazidi kulia tu, jamaa mmoja
Akamkazia dogo "acha usenge kwa io ikawaje mbona unalia sasa"? Dogo akaongea kwa kwikwi "brother umaskini mbaya, ningefanyaje nadaiwa hela ya bosi ya wiki nzima ya pikipiki"
Ohooo, wajuba tukajua imeisha io, wa kucheka wakacheka mpaka basi, kuanzia Hio siku sikuwahi muagiza kitu huyo dogo!!