cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee usitake kudanganya watu hapaa, nimekuambia taja mahakama hiyo, yaan case ya ushoga iendeshwe na taarifa isitoke mtandaoni?Kila kinachotokea Mahakamani unataka tuwe tunasema huku?
Wasanii wanafunguliana kesi za madai kila siku tunapishana nao lakini huku hatusemi...wengine wakiwa Mahakamani ni vituko haswa!! Wanajaa upepo, tunakausha hatusemi wala kuwapiga picha.
Mbna zile za mbeya na mtwara hata hukumu haikutoka tayari mtandaoni ime leak, na kwa sasa wako njeee.
Labda useme yuko kituo cha polisi kwa uchunguzi, ila km mahakamani na case inaendeshwa taarifa ingekua wazi. Huna wa kumdanganyaa hapaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]