mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kilichonisukuma kuandika munakasha huu ni huyu muimba taarabu anayeimba kuhusu mapinduzi matukufu ya serikali ya Zanzibar huku yeye na waimbaji wenzake wakiwa wamevaa mavazi ya CCM na nyuma yake (background) kuna picha za marais wa Zanzibar, kuanzia muasisi wa taifa hilo, Abeid Aman Karume hadi rais wa sasa, Dr Hussein Ali Mwinyi.
View attachment 2874075
Muimbaji huyu anafanya haya huku CCM na serikali ya Mapinduzi (SMZ) wakiwa hawajawahi kukemea wala kupinga kitendo hiki. Hii tafsri yake ni nini? Ni kwamba serikali ya SMZ na CCM wanaunga mkono vitendo vya kishoga? Kama hawaungi mkono mbona sasa hawakemei kudhalilishwa kwa marais wake? Na inasikitisha video hii imeruhusiwa kuchezwa kwenye TV na redio za huko Zanzibar bila kupigwa marufuku. Maana yake nini?
Tukiacha hilo la shoga anayeimba kuisifia CCM na serikali yake ya mapinduzi, hebu mtazame huyu shoga maarufu kutoka Zanzibar anayetamba mitandaoni na maeneo ya Zanzibar mchana kweupe bila kukamatawa na kutiwa adabu.
View attachment 2874079
Huyu bwana aispodhibitiwa, tutarajie vijana wengine kuiga uchoko wake na kujiingiza kwenye vitendo vya kishoga. Wazungu wanasema one fool makes many na waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta. Je, serikali kuwaacha hawa machoko kuzoeleka mitaani haioni kuwa watashawishi vijana wengine kuingia kwenye vitendo vya kishoga?
MAONI YANGU
Ikiwa SMZ wanaunga mkono ushoga, nashauri tugawane mbao mapema kabla uchoko huu haujasambaa hadi Tanganyika. Tuwaache wazanzibar waendelee na uchoko wao na sisi watanganyika tuendelee na ustaarabu wetu. Isiwe shida. Huu muungano wa mchongo sio ndoa ya kikiristo kwamba hauwezi kuvunjwa. Tusiumazane vichwa kwa mambo ya kijinga yanayoweza kuepukika.
Wazanzibari na waarabu hizo ni tamaduni zao kutoka kwenye danguro la mnyaazi ahera.
Unashangaa serikali kuunga mkono, wala hushangai papa na ukristo kuunga mkono ushoga?Halafu wao huwa wanajifanya hawana hizo tabia.
Maajabu haya