Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Tena Zanzibar na Tanga ni hatari mno, kina Aunty Muddy wanajidhalilisha tu kama hawana akili vile
 
Inashindwa kuwanyonga mafisadi na wahujumu uchumi ,wanaokwamisha maendeleo ya nchi hii. Iende kuwanyonga kundi dogo lisilo na athari yoyote kwa maendeleo ya nchi.
Maajabu hayaa.
 
Kujifaragua tu. Serikali masikini hii iliyojaa mafisadi na inayotegemea misaada itathubutu kutunga hiyo sheria ya kuwanyonga mashoga wakati kila kitu inategemea kutoka kwa hao hao mashoga na waunga mkono wakubwa wa mashoga? Pambana kwanza na ufisadi ili uweze kujitegemea angalau kwa mambo ya msingi ndiyo uwaze jinsi ya kudhibiti matobo ya watu.

View attachment 2954354
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila babu umechachukaa vibayaa, eti matobo ya watu, khaaah
 
Vimelea vya ushoga vimepandikizwa katika vitu vingi ... No one is safe . Pia ni amri imetolewa Kwa Wakuu wa nchi zote Duniani kutopinga hizi ndoa labda uwe na misimamo binafsi kama Putin , JPM , Mugabe n.k lakini Kwa viongozi wetu Africa walio wengi Wana uchu wa madaraka . Nafasi zao ni Bora zaidi kuliko usalama wa wananchi wao . Finally , Nguvu inayotawala Dunia ndiyo yenye agenda ya ndoa hizi , hivyo no way out even no any president can resist it otherwise you DIE .

NOTE : The power that controls any generation controls every thing . Dini pia ni siraha ya kueneza ndoa hizi . It's matter of time .
JPM mtoe hapo.
 
Mwanzoni sikuwa naamini kuwa ushoga unashika kasi kubwa nchini Tanzania mpaka pale nilipoanza kufuatilia baadhi ya mabadiliko mitaani na kwenye mitandao ya kijamii.
Kati ya mitandao ya kijamii niliyofanyia upekuzi wangu ni kwenye JF.Nimegundua kuna nyuzi nyingi za wanachama zinazohimiza kukataa ndoa.Vile vile wanayatia shubha mahusiano ya wanawake na wanaume kwa visingizio ambavyo kihistoria tangu dunia iumbwe havijawahi kuonekana ni tatizo.
Ukipenda unaweza kujiridhisha kwa kuwafuata pembeni wale wanaoanzisha nyuzi za kataa ndoa.Utashangaa sana.
 
Usipooa,utaolewa...naungana na mtoa mada,mimi nitaoa bila limitation za misahafu akinishinda napiga chini naoa mwingine,tufuate mila za mababu zetu jamani
 
Vijana wa maika hii ya 90's - 2000's ni mashoga Kwa asilimia 75% wengi wao wapo mitandaoni wakipinga ndoa.
Ukiona kijana amevaa jeans ya kubana MAPAJA ujue huyo ni biashara au ameshaolewa na yupo kwenye ndoa
 
Mwanzoni sikuwa naamini kuwa ushoga unashika kasi kubwa nchini Tanzania mpaka pale nilipoanza kufuatilia baadhi ya mabadiliko mitaanj na kwenye mitandao ya kijamii.
Kati ya mitandao ya kijamii niliyofanyia upekuzi wangu ni kwenye JF.Nimegundua kuna nyuzi nyingi za wanachama zinazohimiza kukataa ndoa.Vile vile wanayatia shubha mahusiano ya wanawake na wanaume kwa visingizio ambavyo kihistoria tangu dunia iumbwe havijawahi kuonekana ni tatizo.
Ukipenda unaweza kujiridhisha kwa kuwafuata pembeni wale wanaoanzisha nyuzi za kataa ndoa.Utashangaa sana.
kwamba kataa ndoa ni mashoga
naunga mkono hoja
 
NDOA NI MAUAJI YA KIMWILI, KIROHO NA KIUCHUMI YALIYOHALALISHWA NA KIKUNDI FULANI HIVI CHA WAHUNI

KATAA NDOA 🤒 😎
 
kama kweli tumedhamiria kusimamia maadili ya kizazi chetu basi mamlaka husika zinao wajibu wa kutupia macho matamasha ya taarabu ambayo kwa kiasi kikubw mashoga hujiingiza na kujiuza/.
jana trh 26/04 nilikuwa kwenye ukumbi wa Dimond J kwenye Tamasha la taarabu (Raha za Pwani) nilishuhudia kundi la vija (mashoga) wakiwa mawindoni......
hatunabudi kutokomeza huu ufirauni ktk maeneo yetu.

tusipo kemea na kutokomeza hawa mashoga basi tusishagae kupata mafuriko na majanga mengine makubwa .
 
Machoko mengi siku hizi UTAYAKUTA kwenye hizi social medias kama Badoo, tinder, tagged n.k ni mengi mno huko. 😒
 
Back
Top Bottom