Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Halafu unashangaa kuona kuna baadhi ya watu waona sawa tu.
Dume anavaa sketi,nywele bandia,anapaka lipstick [emoji168],
Dume anavaa kikuukuu mguuni,
Dume anavaa kipini kitovuni
Mnategemea nini
Ukija kwa wabunifu wenu wa mavaz wengi mashg,uko kwenye media +sanaa miziki ndy usiseme
Kwanini ushg usizidi kueneaa

Ukija mtaani,kwenye shuguli za vigodoro mtaa unafungwa
Wanaitwa wale mashoga kusherehesha shuguli na watu wana jumuika nao bila wasi

Ova
 
Stay away from our children
IMG_20240608_173900.jpg
 
Ukiamua kua mkweli Israeli ndio nchi inaongoza kwa ushoga kulingana na idadi ya watu wake.
View attachment 3011975
Haya mambo hayana kwao sasa hivi yametapakaa duniani kote na hii inadhihirisha wazi kwamba siku za kurudi kwa mwana kondoo zinazidi kuyoyoma.

Katika nchi za kiislam ambapo watu wengi wanaamini kwamba uwepo wa zile sheria katili zinazoendana na utamaduni wao ungeweza kudhibiti huu uovu lakini ndio kumbe nazo ziko taabani japo tofauti na jamii zingine kama za magharibi ambao hawapendi kuficha mambo jamii kama ya waarabu wanaficha sana huu uovu lakini upo sana kwa jamii yao kama inavyoelezwa ktk makala hii hapa chini 👇


 
Mpumbavu Wewe!

I'm sorry for calling you that mkuu, lakini kama impact yake huioni kwa jamii yetu ya kitanzania, na haswa watoto wetu basi Wewe utastahili kuitwa mpumbavu.
Mtoto wako afanye hivyo vitendobmi niumie, acha zako basi, mfano wewe ni mzinifu mke wako akifumanie Ndoa ivunjike, mimi nina athirika wapi kwa uzembe wako mwenyewe, Acha content zionyeshwe wewe mwenye familia ndio una jukumu la malezi ya watoto wako kwa asilimia 100,

Swali, Mbona huko Marekani ambako hayo mambo yameruhusiwa sio kila mtu ni shoga...?, impact yake iko wapi kwa wasio taka...!?
 
Msisahau na hao wabeba vyuma wengi wao wanaliwa..kisababishi ni poda za kuongeza misuli wanazotumia.
 
Wanasuka. Wanavaa skin jeans, Wanavaa fulana zile zenye kola kubwa, wanarembua, wanalalamika, wanapenda vya kupewa zaidi, wanashiriki umbea etc.
Àaah mkuu sio kila anayevaa flana ya kola kubwa ni mlaini.
Hiyo ni fashion tu tuwie radhi aiseee.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Umasikini na hali ngumu ya Maisha ndio chanzo kikubwa
 
Bahati mbaya hata majini, na viumbe wengine kama shetani hawana jinsia....kwahiyo hawajali jinsia yoyote....unatongozwa yoyote afu utaamua mwenyewe mwili wako unautumiaje....unakula?? Au unapenda kuliwa??...hata wanawake wanapenda kula wenzao...
Majini wana jinsia mkuu ndio maana nao wanazaana.
Majini wapo wakike na wakiume.
Kila kiumbe Mungu kakiumba katika jozi ya kike na kiume.
Isipokua wana uwezo tu wa kujibadili kimaumbile.
 
wakiristo sinimashogaa
Ushoga hauna dini.
Ukristo hauruhusu ushoga ila kuna wakristo wa hurka zao ndio mashoga.
Hata waislam mashoga wapo mkuu,je tuseme uislam unaruhusu ushoga!?
Huu uchafu ni hurka ya mtu husika si dini.
Uislam haujaruhusu kutusi imani za wingine mkuu,kama wewe muislam litambue hili.
 
Back
Top Bottom