Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mzee wa usafini ndio rolo modo WA vijana wenu hapo unatarajia nini anajisifia kabisa kwenda geto la pdidy eti alienda usiku na walifanya mambo mengi sana ambayo hawezi kuyaelezea kwenye sosho media. Vijana wanavaa mitelezo na anakaa na kuzunguka na magasho kila Kona Manona sawa tu. Ishakuwa mbwai wacha waliwe tu kizazi cha jezebeli.
Huko usafini wamejaa top mpaka wataalam wake wa mavaz mapunga
Acha tu kizaz hiki mapunga wajaeee tu maana hakuna namna mfumo si ndiyo unapenda hivyo

Ova
 
Tuwe wakweli juu ya ushoga
Kwa ilivyo juu ya rushwa ndivyo ilivyo ktk ushoga . Tunaimba kiila juu ushoga ni kitu kibaya lkn tunafunga maskio yetu kila siku yasikia wasanii wetu wakisema "kwa mpalange kwa mpalange" na wananchi hata kupiga marufuku maneno zinazo glorify ushoga .
Kwa sbb siasa imeingizwa kwenye rushwa,wanapiga rushwa kwa maneno tu ndio wala rushwa wakubwa.
Ushoga ni ttz kubwa, tuache kuimba nyimbo zinazotukuza ushoga. Hili ttz la ushoga ni balaaa kwa taifa. Wote tunajua kwamba hata ktk familia nyingi manaume wanaingilia hata wapenzi wao na pengine hata wake zao kinyume ncha maumbile.
Swali langu: Tutaacha lini unafiki wa kuingiza siasa ktk masuala muhimu kama haya. Kwanini hatupendi kutatua mattz yetu kulingana na uhalisia wake?
POINT!!!!
 
Jamii tuliyonayo imeshaharibika hata itiwe ndimu haisaidii kitu, cha muhimu ninachokiona ambacho kitasaidia kupunguza (Sio kuondoa) tatizo tulilonalo ni kuwa kila mmoja wetu apaze sauti yake kuanzia ngazi ya familia, ukoo na hata jamaa zake katika kuwaelezea tatizo hili, nahisi kwa kiasi fulani itasaidia.
Kila mmoja wetu na atimize wajibu wake.​
Mi nilidhani ungesema tutokomeze hiki kizazi kilicho haribika tayari na kizazi kipya kiishi kwa taadhari ya kuto kurudia ya kizazi kilichoangamizwa?

Mashoga hawana msaada wowote zaidi ya kuendelea kuangamiza jamii kwanini wasiangamizwe wao kwanza, ili iwe fundisho kwa kizazi kipya?

Mahakama huwa inatoa hukumu kali kwa matendo mabaya, ikiwemo kuingilia kinyume na maumbili "ILI LIWE FUNDISHO KWA WENGINE WENYE KUFIKIRI KUFANYA HIVYO" Kwanini ili kuponya kizazi kizuri, tusiangamize kizazi kilicho haribika ili tuanze na kizazi safi?.
 
Mawazo yako ni mazuri, lakini sidhani kama umezingatia haki ya msingi ya Kuishi. Kila mtu ana haki ya kuishi.
 
Tuwe wakweli juu ya ushoga
Kwa ilivyo juu ya rushwa ndivyo ilivyo ktk ushoga . Tunaimba kiila juu ushoga ni kitu kibaya lkn tunafunga maskio yetu kila siku yasikia wasanii wetu wakisema "kwa mpalange kwa mpalange" na wananchi hata kupiga marufuku maneno zinazo glorify ushoga .
Kwa sbb siasa imeingizwa kwenye rushwa,wanapiga rushwa kwa maneno tu ndio wala rushwa wakubwa.
Ushoga ni ttz kubwa, tuache kuimba nyimbo zinazotukuza ushoga. Hili ttz la ushoga ni balaaa kwa taifa. Wote tunajua kwamba hata ktk familia nyingi manaume wanaingilia hata wapenzi wao na pengine hata wake zao kinyume ncha maumbile.
Swali langu: Tutaacha lini unafiki wa kuingiza siasa ktk masuala muhimu kama haya. Kwanini hatupendi kutatua mattz yetu kulingana na uhalisia wake?
Kwani Baraza la Kiswahili Tanzania limetoa tafsiri kuwa "Kwa Mpangale" inamaanisha vitendo vya kishoga au hiyo ni tafsiri yako?
 
Kwa vile watanzania walivyo na jinsi serikali inavyowa treat, wamekosekana watu wa kuwatongoza tu ile 60% wawe wawe wanapakazwa mafuta. Ila in 10 years kama hali itaendelea hivi basi 60% watakuwa wamesha left magroup
 
Kwani Baraza la Kiswahili Tanzania limetoa tafsiri kuwa "Kwa Mpangale" inamaanisha vitendo vya kishoga au hiyo ni tafsiri yako?
Hata mtu akijitoa data wananchi wanaelewa sana maana ya neno hilo. Hata ukiita popobawa tunajua pia. Otherwise mengine ni kuchoshana tu!
 
Back
Top Bottom