Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Sawa mkuu nime edit post yangu.Tu stick na nyoka mkuu.
No hiden agenda ila honestly nilitaman kuwe na dume humu adeal na hii situation.

Sawa mkuu nime edit post yangu.Tu stick na nyoka mkuu.
No hiden agenda ila honestly nilitaman kuwe na dume humu adeal na hii situation.
Una shida gani huja pata mpaka sasa
 
Wacha kumtegemea Yesu. Weka mafuta ya taa, hakikisha una dawa ya anti venom karibu ukiumwa na nyoka, hakikisha una mabaka ya mkorosho karibu yanasaidia ukiumwa unayanyonya yaliyolowekwa katika maji.

Hakikisha unakata machaka kuzunguka nyumba yako.
Sitaacha kumtegemea Yesu ila asante sana kwa ushauri na somo.
 
Naombea uwe sahihi mkuu.
Ila vinajinyonga nyonga kama nyoka na kana kichwa kama.nyoka na ngozi inang'ara kama nyoka
 
Umuhimu wa kuishi na mume ndo huo hapo. Ungekuwa na jamaa usinge kuja kutupigia makelele uku. Sisi hatuna cha kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…