Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Mume kasafiri.
Ila hz hasira zako vipi umekula kweli?
HUYO MUME NI TOFAUT NA YULE ALIYE KUACHA MWAKA JANA OCTOBER? kulingana na huu uzi👇

 
🤣🤣🤣🤣
Nyoka huwa wanapanda sana kitandani kutafuta joto usishangae ukamkuta yuko pembeni yako
Nipe namba yako mwezi wa Ramadhan ukiisha nije kukusaidia kumuua
🤣🤣🤣🤣🤣kha🤣🤣
 
Madam, nitumie location nije tulale wote uyo nyoka hatakusumbua tena sababu nina dawa inyofukuza nyoka, kila sehemu ninapopita kama kuna nyoka mita10 akisiki harufu tu anakimbia
 
Yes mkuu.
Very nyoronyoro indeed halafu wanawaza ngono tu.

Hongera kwa kuua chatu mkuu
 
Thanks mkuu
 
Mkuu kwanini una divert focus ya uzi wangu ?
How come nahitaji msaada wa kufukuza nyoka then badala ya kusaidiwa naulizwa mambo ya mahusian yangu?
Hebu wakuu achen hizo bana.
 
Wewe ni MWANAMKE au MWANAUME
 
Acha uoga kwani nyoka huwa analea watoto wake si mayai yakishaanguliwa kila kimoja kinshika njia yake na kuanza kujitegema kuanzia wakati huo hivyo hakuna uwezekano kuwa eti wazazi wa hivyo vitoto wako around unless hapo ndio makazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…