Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
- Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
- Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
- Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
- Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
- Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)
Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?
PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂