Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Sija wahi kufunga ndoa
Kushakucha, amka usije ukajikojolea kitandani 😅Mixx by YAS si tulikulana mm na ww pale goba?😋
Inapendeza sana, watu wasizoee kujichukulia sheria, wakishindwa kujikaza waoe!Sijawahi kupiga nyeto.
Kuna uzi dronedrake nae alikiri hajawahi kufanya hicho kitendo.
Wallahi hiyo sijawahi 😅Itakua hiyo namba 5 ndio ya uongo,kua mkweli tu.
Si unajua mchana kwangu ndo usiku?Kushakucha, amka usije ukajikojolea kitandani 😅
Ni Viwili amedanganya No. 3 na 5 (SIM2 na Viserengeti boys vyote amefanya na anazidi kufanya)Cha uongo hapo kipo wazi kabisa, na lengo la uzi utakuta ni kuandika huo uongo 😂😂😂
Sijawahi kula KFC 🙄 Sijui kwanini
Umepotelea wapi kijanaInasikitisha sana
Tunafurahi bado unaishi, tunakuombea usife anytime soon!SIJAWAHI KUFA
Inapendeza sana 😍, endelea hivyo hivyo.Sija wahi kunywa pombe, kuvuta sigara au kutumia mihadarati.
Asante, nikaribie wapi mkuu!2. karibu unakula hadi unakinai.
Nipo hapa hapa uliponiacha 😎Umepotelea wapi kijana
Ulihofia kupelekwa kwa mpalange sioSijawahi kumlala mwanamke wa Jamii forum. Kuna mmoja nilikuwa namvizia kwa bahati mbaya akawa anaishi Buza. Ikabidi nisitishe zoezi.
It's about time, nilifikiri mzee Shimba ya Buyenze ameshakupa binti yake mwenye madako matale!Sija wahi kufunga ndoa
Sio watamu? Yani sijawahi....inabidi niende nikaonjeUko wapi tukutane Dimondi plaza, wale kuku sijawai kuwaelewa.
Kunq siku nimekula kuku kwenye event fulani walikuwa watam kinoma.
Nasema AmeeenTunafurahi bado unaishi, tunakuombea usife anytime soon!
Kila mtu anataste yake ila yangu mimi nawaona wa kawaida sana ni vile branding inasaidia.Sio watamu? Yani sijawahi....inabidi niende nikaonje
Unaachaje kunimiss sasa? ID yako ya zamani nani?Si unajua mchana kwangu ndo usiku?
Sema nimekumiss kinoma..
Chuganian wanasemajee..
Wakati huo huu msemo wa kwa Mpalange ulikuwa bado haujaanza.Ulihofia kupelekwa kwa mpalange sio