Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Mamy i miss you...

Oky kwenye mada kiufupi zamani nilikua nafikilia mademu wa kikurya ni very harshly kumbe laa hasha sasa katika harakat harakat zangu leo nimejiokotea lishangazi la kikurya mwanzoni nilikua naona kumilik ni ngumu ila alhamdullilah leo naenda kulikata shanga....

Mama ukiona kimya usishangae jua tayari huku.. hapa mziki mkubwa feni kwa sana an hakuna kupoa...

Asbh nimeamka na vitunguu swaumu na tangawz na push up kama 7k hvi...
 
  1. Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
  2. Sijawahi la nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
  3. Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
  4. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
  5. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
  6. Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)


Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?


PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂
Namba 5 ndio cha uongo 😄😄😄😄
 
Mamy i miss you...

Oky kwenye mada kiufupi zamani nilikua nafikilia mademu wa kikurya ni very harshly kumbe laa hasha sasa katika harakat harakat zangu leo nimejiokotea lishangazi la kikurya mwanzoni nilikua naona kumilik ni ngumu ila alhamdullilah leo naenda kulikata shanga....

Mama ukiona kimya usishangae jua tayari huku.. hapa mziki mkubwa feni kwa sana an hakuna kupoa...

Asbh nimeamka na vitunguu swaumu na tangawz na push up kama 7k hvi...
Ila wewe mtoto 😂 😂
Kwamba mshangazi wa kikurya unakubebisha mpaka huamini macho yako.

Piga kazi mwanangu, ichape mpaka aondoke anachechemea 😅 😅
 
Back
Top Bottom