Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

  1. Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
  2. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
  3. Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
  4. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
  5. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
  6. Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)


Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?


PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂
Itoshe kusema kuwa ikikupendeza njoo nikuoe tu .
Hivyo vyote ukiwa na mimi utavifanya isipokuwa hizo habari za Mix by Yas sio mambo yqngu ila kuhusu mengine utafanya na utakuwa umepiga hatua mpya maisha mwako .

Kwasasa PM naiweka wazi kwa hili nusu saa nikikusubiri wewe baada ya hapo nitaifunga .

Fanya chap maana wadada wanaonifuata PM ni wengi ila lengo ni wewe wife to be
 
Back
Top Bottom