Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Itoshe kusema kuwa ikikupendeza njoo nikuoe tu .
Hivyo vyote ukiwa na mimi utavifanya isipokuwa hizo habari za Mix by Yas sio mambo yqngu ila kuhusu mengine utafanya na utakuwa umepiga hatua mpya maisha mwako.
Limeisha hilo, andaa tu pete na mahari
Kwasasa PM naiweka wazi kwa hili nusu saa nikikusubiri wewe baada ya hapo nitaifunga.
Mbona umefunga PM haraka haraka hivyo 🙁
Fanya chap maana wadada wanaonifuata PM ni wengi ila lengo ni wewe wife to be.
Ole wao, wakuache mume mtarajiwa!
 
Unajua kwenye mapenzi kuna muda huwa ukikaa na kuanza kukumbuka mambo uliyofanya kuanzisha au kutunza mahusiano unabaki unacheka mwenyewe😂😂 huamini kama mimi ndo nilifanya hivi kweli😅
Kama mapenzi hayajakuvuruga na kukutoa akili kidogo basi bado hujapenda.
Tuombe tu yale yote ya hovyo tunayoyafanya penzi likiwa limekolea yaendelee kubaki sirini 😂
 
Namba tatu ni uongo😂😂😂😂
Daaah, sijawahi jamani 😂 😂 ila inabidi nijaribu hivi vitoto vya alfu mbili, nasikia vina pumzi ndefu 😅🙈🙊
Anyway mimi sijawahi kupanda ndege
Sijawahi kupanda mlima kilimanjaro
Sijawahi kuwa na kibenten
Sijawahi kudate na mzungu😎
Inabidi nikufanyie mpango, hata kimoja kati ya hivi kitimie
Mimi ni mshamba sana, Anyway tuishie hapo🥲
Siyo mshamba buanaa!
 
Back
Top Bottom