Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
Najioneaga tabu tu, sijawahi kuvutiwa na kelele na zile fujo za mashabiki.Unakosa vingi
Najioneaga tabu tu, sijawahi kuvutiwa na kelele na zile fujo za mashabiki.Unakosa vingi
Asante sana, nakusubiri nikifika 20Naogopa nitakuharibia uvulana wako 😂
Wafa maji hawa, wamebaki wanatapa tapa tu!Hawatuachi tukae kwa amani kila kona ni ngumi tuu.... mara bora uonane na mama Ndalichako kuliko wadada wa JF kifupi hatupumui
Nitakaribia!Arusha
Daah 😅, nini kinakuaminisha hivyo?mimi sio mtabiri...ila nina uhakika namba tano ndio ya UONGO😆
Huo si ugonjwa mkuu? au kuna watu wanajimilikisha kwa kupenda?Sijawahi kumiliki shipa aka busha
Daah wewe kama mwanaume jikaze tu, hata kama siyo tajiri na hautaombwa hela, kuwa mchovu ni mwiko.Ila hamtaki mwanaume awe tajiri wa roho tu 😁
Ni "maneno ya wakosaji" naamini wengi humu wamekataliwa na wala hawajaonana na wanawake wa JF.Wao wenyewe saidia fundi choka mbaya sisi wa kazi gani? 😹😹😹
Shida ni nini mkuu?Sijawahi kuwa kwenye mahusiano ya kudumu/muda mrefu
samaleku mkuu!🤝Daah 😅, nini kinakuaminisha hivyo?
Hakuna shidaShida ni nini mkuu?
Sasa mbona hau-last au unakinai mapema?Hakuna shida
Umedaganya hapo
Nope, naona ni sawa tu nikiwa hivi, kiasi fulani niko complicated sitaki kuhamishia/share huo mzigo na mtu mwingineSasa mbona hau-last au unakinai mapema?
Nimetoka kuichapa hapa..Hivi hicho kiungo bado hakijabadilika rangi kweli? hakuna shimo la kabila lolote ambapo hakijazama 😂
Mtoto umekula hadi wamasai 😅
😀😃Mamy i miss you...
Oky kwenye mada kiufupi zamani nilikua nafikilia mademu wa kikurya ni very harshly kumbe laa hasha sasa katika harakat harakat zangu leo nimejiokotea lishangazi la kikurya mwanzoni nilikua naona kumilik ni ngumu ila alhamdullilah leo naenda kulikata shanga....
Mama ukiona kimya usishangae jua tayari huku.. hapa mziki mkubwa feni kwa sana an hakuna kupoa...
Asbh nimeamka na vitunguu swaumu na tangawz na push up kama 7k hvi...