Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Ila Mzabzab 😂
Sasa hapo kwenye Demu mkali, unakwama wapi wakati vyombo kama akina trudie wamo humu.

Kibamia nacho kina utamu wake, kuna wengine wanavipenda.
mzabzab anajua kabisa kwamba mimi ni kikongwe, moja kati ya wabibi waliopo JF.....huyo inabidi apate damu changa vitoto vya afumbili ndio mbususu zao bado hazijasoma milages
 
Kitu Rais anapatikana kwa kuchaguliwa na watu wasiyozidi ten aisee aah!
 
  1. Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
  2. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
  3. Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
  4. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
  5. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
  6. Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)


Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?


PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂
Hiyo namba 5 ni chai bila kuona picha ya hio mixx by yass.
Unaandikaje dokezo bila viambatanishi asee, nashauri ziwekwe sheria ngumu kuzia post kama hizi
 
Punguza kamdomo, we inama tu ukuni ukuingie!
14e5cf34fffccfef46c5c0d025b7dafa.jpg

Hali yako kwa sasa, chuma kweli imekuingia penyewe. Em tulia nikutie dawa mrembo
 
Back
Top Bottom