Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Niko nakaa Solo getoni... ila ile kusema nalala na mwanamke hadi asubuhi NEVER.. labda km ikitokea nimepata bahati ya Kuoa.. ila hizi mechi za kirafiki za tumasaa tuwili tutatu sawa then kila mtu ana disperse
Bora wewe, ukikaa sana na mwanamke, anakufyonza energy yako.
 
Back
Top Bottom