Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

  1. Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
  2. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
  3. Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
  4. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
  5. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
  6. Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)

Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?

PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂
Mbona haujasema kwamba haujawahi kufika MBEYA
 
Sijawahi kumla tako mwanamke mwenye matako.makubwa nasikiaga tu wenzangu wakinisimulia utamu
 
Inasikitisha sana, unakaa kwa wazazi kwani?
Niko nakaa Solo getoni... ila ile kusema nalala na mwanamke hadi asubuhi NEVER.. labda km ikitokea nimepata bahati ya Kuoa.. ila hizi mechi za kirafiki za tumasaa tuwili tutatu sawa then kila mtu ana disperse
 
Wewe ndiyo hautakagi walale au wao ndiyo hawataki kulala?
 
Back
Top Bottom