Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Kufa utakufa tu, ila pombe usianze kunywa. Subiri mapenzi yakuue taratibu 😅
Unajua kwenye mapenzi kuna muda huwa ukikaa na kuanza kukumbuka mambo uliyofanya kuanzisha au kutunza mahusiano unabaki unacheka mwenyewe😂😂 huamini kama mimi ndo nilifanya hivi kweli😅
 
Sijawahi kula Likes
giphy-downsized.gif
 
Namba tatu ni uongo😂😂😂😂

Anyway mimi sijawahi kupanda ndege Sijawahi kupanda mlima kilimanjaro
Sijawahi kuwa na kibenten
Sijawahi kudate na mzungu😎

Mimi ni mshamba sana, Anyway tuishie hapo🥲
 
  1. Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
  2. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
  3. Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
  4. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
  5. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
  6. Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)


Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?


PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂
mimi sio mtabiri...ila nina uhakika namba tano ndio ya UONGO😆
 
Back
Top Bottom