Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Sijawahi kubahatika kuona pisi yoyote jamii forum wote niliyobahatika kukutana nao wanasura za kazi mamaee
Warembo wapo

Kabla sijaoa niliwahi kukutana na pisi kadhaa. Kuna mmoja anafanya kazi kwenye kampuni za magari kule uelelekeo wa airport. Ni mrembo mmoja ana jicho la kurembua halafu amepaa hewani hivi.
 
Back
Top Bottom