Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
  1. Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
  2. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
  3. Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
  4. Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
  5. Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas).
  6. Sijawahi kumiliki wala kushika silaha ya moto (bastola, bunduki etc.)


Vipi wewe, kipi hujawahi kufanya au kumiliki?


PS:
Kimoja kati ya hivi ni cha uongo 😂
 
Itakua hiyo namba 5 ndio ya uongo,kua mkweli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…