pmm7
Member
- Sep 28, 2022
- 76
- 72
Nilikuwa nataka strong marriage, na nikaamua kujifunza how not to be a boring wife...same time nika neglect shortcomings zote za jamaa.... seriously ime work..
Mbili nilikuwa nataka strong business...for the two years...ime work, nimejifunza zaidi, and I think I'm good on that...namshukuru Mungu.
Tatu unaweza kuona ni kitu kidogo...lakini kwangu namshukuru Mungu, I wanted to ride a big toy...nilichoka baby walker Kwa mwaka mzima nikawa nafanya utafiti wa gari ninalotaka..., The price..NK.. mwaka juzi nikafanikiwa kununua....in proud of myself...
Sasa hivi Nina business naifikiria , my friend na mume wangu wanasema In crazy...sitaweza coz it's huge..But I'm dreaming on it daily...naifanyia utafiti na nimeshaa Anza plan... Nimeipa timeframe ya 3 yrs...naamin ita work..naifikiria day and night[emoji1][emoji1]
Umetisha mkuu shukran kwa kutupa moyo