Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Acha nianze 🙂
VIPI WEWE?
Acha nianze 🙂
- Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani
.
- Kuwa peke yangu (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea kuniongelesha.
- Kuvaa nguo bado ya moto baada ya kuipiga pasi na kulala na nightdress laini za silk.
- Kukumbatiwa kwa nyuma nikilala (spooning) 🙈 na kukojozw

- Kupata hela ambazo nilizisahau na sijazitegemea (kwenye pochi, kabatini etc.)
- Kunywa maji ya kutosha na kujisikia vizuri kila nikiangalia mkojo wangu 😅
VIPI WEWE?