Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

1Najisikia raha baada ya kufanya usafii ndani na enjoy kuangalia kila kitu kikiwa kipo sehemu yake

2 napenda kukaa peke yangu ikiwa sijaenda kazini kushinda ndani then nitoke jua likizama hua najisikia happy

3 naenda kukaa uchi time ya kuperuzi kama nipo home

4 after kutoka gym nikaingia bafuni kuoga ile hiisia uwiiiii so sweet

5 hii inafanana na yako : napenda kukumbatiwa kwa nyuma wakati wakulala yaam makalio ni yaweke kwenye nanii ya mkumbatiaji halafu soft music kwa mbaali🔥
 
1Najisikia raha baada ya kufanya usafii ndani na enjoy kuangalia kila kitu kikiwa kipo sehemu yake
🔥🔥🔥😍
2 napenda kukaa peke yangu ikiwa sijaenda kazini kushinda ndani then nitoke jua likizama hua najisikia happy
Kujifungia ndani 😄
3 napenda kukaa uchi time ya kuperuzi kama nipo home
Kumbe tuko wengi 😌
4 after kutoka gym nikaingia bafuni kuoga ile hiisia uwiiiii so sweet
Mimi huwa naoga huko huko gym aiseeh, mwili unajiskia poa sana
5 hii inafanana na yako : napenda kukumbatiwa kwa nyuma wakati wakulala yaam makalio ni yaweke kwenye nanii ya mkumbatiaji halafu soft music kwa mbaali🔥
Hako kafeeling ☺️☺️
giphy 76.GIF
 
Back
Top Bottom