Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

😂Ndio nimesema sitaki manyanyaso..
Na sisi tumesema "utanyanyasika tu"
90 Day Fiance Reaction GIF by TLC.gif

Nyie kaeni na zenu na mie nakaa na yangu. Tuone kama itayeyuka hii
Itasinyaa mpaka ipate makunyanzi 🤣🤣
 
Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?

Acha nianze 🙂
  1. Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani
.

  2. Kuwa peke yangu (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea kuniongelesha.

  3. Kuvaa nguo bado ya moto baada ya kuinyoosha na pia kulala na nightdress laini za silk.

  4. Kukumbatiwa kwa nyuma nikilala (spooning) 🙈 na kukojozw:uwotWater:

  5. Kupata hela ambazo nilizisahau na sijazitegemea (kwenye pochi, kabatini etc.)

  6. Kunywa maji ya kutosha na kujisikia vizuri kila nikiangalia mkojo wangu 😅

VIPI WEWE?

View attachment 3481363

View attachment 3481364
kutomb.a
 
Back
Top Bottom