Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?

Acha nianze 🙂
  1. Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani
.

  2. Kuwa peke yangu (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea kuniongelesha.

  3. Kuvaa nguo bado ya moto baada ya kuinyoosha na pia kulala na nightdress laini za silk.

  4. Kukumbatiwa kwa nyuma nikilala (spooning) 🙈 na kukojozw:uwotWater:

  5. Kupata hela ambazo nilizisahau na sijazitegemea (kwenye pochi, kabatini etc.)

  6. Kunywa maji ya kutosha na kujisikia vizuri kila nikiangalia mkojo wangu 😅

VIPI WEWE?

View attachment 3481363

View attachment 3481364
Shule zinafunguliwa lini???
 
1. Mzki mzito sn niweke playlist na kusiwe na watu wanaptapta ndani
2. Kukaa peke yng nafanya mambo yng kwa utulivu au nafkria na kupanga mambo yangu.
3. Sex hasa usiku kabla ya kusinzia.
4. Kuangalia vitu vyangu nikiwa peke yng.
Tumefanana vingi!
 
Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?

Acha nianze 🙂
  1. Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani
.

  2. Kuwa peke yangu (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea kuniongelesha.

  3. Kuvaa nguo bado ya moto baada ya kuinyoosha na pia kulala na nightdress laini za silk.

  4. Kukumbatiwa kwa nyuma nikilala (spooning) 🙈 na kukojozw:uwotWater:

  5. Kupata hela ambazo nilizisahau na sijazitegemea (kwenye pochi, kabatini etc.)

  6. Kunywa maji ya kutosha na kujisikia vizuri kila nikiangalia mkojo wangu 😅

VIPI WEWE?

View attachment 3481363

View attachment 3481364
Kuwa na pesa ya akiba benki, mpesa,na kweny wallet,pia droo pia kutokosa bando la intanet
 
Pale nimepiga dem mabao mawili nimemkomesha halafu ghafla dushe lisimame wima huku linadai bao la tatu, huwa raha sana maana hapo dem atatoka huku anakusifia tu
 
Back
Top Bottom