secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hapana banaJasiri haachagi asili 😅
Hapana banaJasiri haachagi asili 😅
Mizimu ya wazee wangu ilinishtua mapema 😅Kumbe wewe na nyumba yako ya urithi uliepuka mengi 😅😅
Daaah acha kabisaMtoto wangu mzuri mzuri, tuliza kichwa hicho 🤣
😂😂😂😂Cooking alone, being home alone 😊
View attachment 3481366
Cc:
Joanah , ephen_ , cocastic, Angel Nylon
Peke yako?Kuwe kunanyesha mvua nje, kitanda kimetandikwa kimenyooka vizuri nilale nijifunike gubigubi aiseee ni balaa!🤗🤗🤗🤗🤗
Sawa, naona maandalizi ya kuila tamu yanakufurahisha 😅Kile kitendo cha mrembo kusema nielekeze ndio nimechukua bolt hapa, ama ninakuja lakini sikai, ama nimefika njoo ulipie ama wakati anavua pants anasema sio kwamba unanichezea wewe? Unanipenda kweli?
Sana! Tamu ni tamu sana aiseeSawa, naona maandalizi ya kuila tamu yanakufurahisha 😅