Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #201
Aliingiza kichwa uvunguni nini 🤣🤣 mkia ukakuwehusha 🤣Kuna style alinipa kiss ov love mpaka nikasahau password ya JF 🥰
Aliingiza kichwa uvunguni nini 🤣🤣 mkia ukakuwehusha 🤣Kuna style alinipa kiss ov love mpaka nikasahau password ya JF 🥰
Aaanha wapi 😅😂Hiyo ilikuwa zamani
Amesema Ile style anayo yeye tu hataki niitangaze 😂Aliingiza kichwa uvunguni nini 🤣🤣 mkia ukakuwehusha 🤣
Akiniangalia hivyo me kwake nakuwa teke teke......Kuna siku alinitizama hivyo mfukoni nilikuwa na hel za mchango daah baada ya hapo ukoo mzima ulitaka kunipiga😂😂😂
Kuna jamaa hapo juu ndo kasema.hvo mama😅😅 dah ! Hayo yako
Nisamehe mkuu nakua nateleza mara moja moja tu ahahahaha daaahMi nilishakwambia ni muwakilishi wako hapa, ni kama meneja wako.
Usipokuwepo nipo, ikitokea connection ya jimama hakyanani siachi kukupa pande mwanangu.
Shida yako kubwa ni kua huna shukrani, pamoja na kukupa mapande kibao ya mijimama ya miaka miaka 70+ bado unananikandia tu.
Wait What ! nita assume hii ni typing error 🤔Kuna jamaa hapo juu ndo kasema.hvo mama
Aaaaaah dosho12 nikajua hiyo reply imetoka kwa Binti wa zamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kudadek zanguWait What ! nita assume hii ni typing error 🤔
Daaah 😂😂😂😂 nishachanganya mambo an hapo nikawa najua namjibu Binti wa zamaniWait What ! nita assume hii ni typing error 🤔
Siku hizi nimekuwa muungwana kweli!Aaanha wapi 😅😂
🤣🤣loh! Kumbe sasa ntazidisha
Mtoto wangu mzuri mzuri, tuliza kichwa hicho 🤣Daaah 😂😂😂😂 nishachanganya mambo an hapo nikawa najua namjibu Binti wa zamani
Jasiri haachagi asili 😅Siku hizi nimekuwa muungwana kweli!
Nina maswali mengi ila acha ninyamaze tu 😅😅🤣🤣HIYO NAMBA 6 IMENIFANYA NIMEKUA MLEVI WA MAJI, NANUNUA ILE LITA 13 au 17, mkojo nakua nakojoa mwingi sana halafu mweupe na uboo unakua haulali mda wote upo silencer
😂😂uwiiii ni ipi hiyo hebu tukumbushaneKuna style alinipa kiss ov love mpaka nikasahau password ya JF 🥰
Kumbe mtoto ana hatari sana huyu 😂😂😅😅 huku kwetu kanajifanya kapole, kumbe kunako anafanya muhonge mpaka pesa za mikopo na michango 😅Amesema Ile style anayo yeye tu hataki niitangaze 😂
Uliza, halafu wewe demu unaonekana mtamu sana basi tuuNina maswali mengi ila acha ninyamaze tu 😅😅🤣🤣