Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
Utapapata tu pa kuizamisha hadi ikalala, mwanaume wewe 😎😂 ikisimama sina mahala pa kwenda ilazia. Jamani tusiamshe vilivyo lala
Utapapata tu pa kuizamisha hadi ikalala, mwanaume wewe 😎😂 ikisimama sina mahala pa kwenda ilazia. Jamani tusiamshe vilivyo lala
navyo ona humu watu wakomaa na puli, inaonekana mambo kwa ground mazito sanaa, nitulie zangu uzuri kanazidi kuzama ndani kachululu sijui mwisho wa siku katapotea kabisaUtapapata tu pa kuizamisha hadi ikalala, mwanaume wewe 😎😂
Kama kawaida yako!Kupokea msg ya ...Imethibitishwa.......
Vishu vishu
Mfereji..Mvua ikiwa inanyesha kuangalia Yale matone yanayo dondoka kwenye bati, au kama Kuna mfereji kuangalia maji na zile taka zinavyopita
Nice 👌Madili kutiki hasa pesa...
Siongezi neno, umesema yote, hasa hapo kwenye namna ya kukojozana 😅Mashine mpya...naniliu nene alafu liwe linatoa tule tumaji ....ulikung'ute haswa....nilikojoze/tukojoe pamoja
Inapendeza sana!Being alone kupanga mambo yangu, kusafiri n.k !
Mzima kabisa, nimetoka Chuga niko Dar chap ila kesho narudi.Binti wa zamani hujambo lkn ? Za hapo jamhuri ya chugga
unajiuza beigani nikununue?Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Acha nianze 🙂
- Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbani .
- Kuwa peke yangu nyumbani (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea kuniongelesha.
- Kuvaa nguo bado ya moto baada ya kuinyoosha na pia kulala na nightdress laini za silk.
- Kukumbatiwa kwa nyuma nikilala (spooning) 🙈 na kukojozw
- Kupata hela ambazo nilizisahau na sijazitegemea (kwenye pochi, kabatini etc.)
- Kunywa maji ya kutosha na kujisikia vizuri kila nikiangalia mkojo wangu 😅
VIPI WEWE?
View attachment 3481363
View attachment 3481364
Unataka kapicha ka kitu gani 😅Story bila picha kadogo haziinogii...
Safii...kikubwa uzima upo, harakati ziendelee...nackia Leo mama yupo kwenu chuggaNice 👌
Siongezi neno, umesema yote, hasa hapo kwenye namna ya kukojozana 😅
Inapendeza sana!
Mzima kabisa, nimetoka Chuga niko Dar chap ila kesho narudi.
Ndiyo maana siko huko aiseeh!Safii...kikubwa uzima upo, harakati ziendelee...nackia Leo mama yupo kwenu chugga
😅😅 dah ! Hayo yakoMfereji..
Kupenda kuangalia taka..
Ahahahha hayaaaa tushaelewa
Huna mambo mengi 👌🏽1. Parachihi juu ya wali.
2. BJ
Daaah kutoa haja kubwa napo kunakufurahisha mkuu 😅Kula,kunya,kulala, kugegeda.
Kunya kuna raha yake bwanaDaaah kutoa haja kubwa napo kunakufurahisha mkuu 😅